Recent content by ehee kumbe

  1. ehee kumbe

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mke wangu anachat na li mtu wanaitana "MY"

    Unanakili story za Instagram unazileta hapa
  2. ehee kumbe

    JamiiForums Tanzania Vurugu Dodoma: CCM wamfanyia vurugu Mbunge wa CHADEMA

  3. ehee kumbe

    JamiiForums Tanzania CHADEMA, propaganda dhidi ya Makonda hazimsafishi Mbowe kadhia ya mihadarati

    Umeongea vitu vya point sana ila hujui umesaidia umma wa watanzania kufahamu kilichokuwa kinafanyika kumbe sio kupambana na madawa ya kulevya ila lengo lilikuwa kuchafua majina ya watu. Yani umeonyesha wazi kuwa ni mpango ulipangwa kabisa kuwa mbowe atajwe ili mmchafua.na mkiamini kabisa...
  4. ehee kumbe

    JamiiForums Tanzania Maazimio ya Members wa JF juu ya Makonda na vita ya mihadarati

    Uko sahihi sana hongera
  5. ehee kumbe

    JamiiForums Tanzania China yajiandaa na vita dhidi ya Marekani

    Hujui lolote nyamaza
  6. ehee kumbe

    JamiiForums Tanzania Rushwa ya ngono

    Tumia huu ushauri.ila takukuru nao ni shida wanaweza kuvujisha siri kwa Afande
  7. ehee kumbe

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya ku-highlight sentensi au maneno kwa rangi humu JamiiForums

    Najaribu[/coral]
  8. ehee kumbe

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya ku-highlight sentensi au maneno kwa rangi humu JamiiForums

    Mhh kazi IPO[coral=red]
  9. ehee kumbe

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya ku-highlight sentensi au maneno kwa rangi humu JamiiForums

    Tusichekane tunapo jaribu [red]
  10. ehee kumbe

    JamiiForums Tanzania Imetosha imetosha! Saa ya ukombozi inakaribia

    Aliyeweka threads zako za Nyumba ,kakuumbua kweli.kumbe wewe ni mnafiki.pole sana
  11. ehee kumbe

    JamiiForums Tanzania Sakata la Dangote: Kama ni kuondoka na aondoke tuu

    Ama kweli humu kuna watu wana akili mgando. Yule ni mwekezaji ,kabla hajawekeza Tanzania kuna mikataba au makubaliano aliyosainiana na serkali ndo akaamua kuwekeza. Sasa kama serkali haizingatia makubaliano waliyokubaliana toka mwanzo kwa nini Dangote asilalamike. Kosa tusimtwishe...
  12. ehee kumbe

    JamiiForums Tanzania RC Makonda ashtakiwa kwa kudhalilisha wanawake na kukosa maadili

    Kweli ACT mmefilisika mawazo mnatafuta kiki.chama kimewashinda mpaka akina machali wanawakimbia .badala ya kujenga chama mnaleta unafiki. Ukiangalia mkutano wa makonda toka mwanzo wananchi wanatoa kero kila kero imesababishwa na watumishi wa serkali tena kwa makusudi.watumishi hao...
  13. ehee kumbe

    JamiiForums Tanzania Mh. Rais, kutaifisha mifugo ndio suluhisho la migogoro ya wakulima na wafugaji

    Wafugaji hawana adabu kabisa .wanaingiza Mifugo kwenye mazao ya wakulima kimakusudi. Mfugaji hakuna kitu anachokithamini kama Mifugo.yuko radhi mtoto wake afe kwa kukosa matibabu lakini Ng'ombe akiugua atamgharamia matibabu. Hivyo basi tiba ya tatizo hili ni kutaifisha au kuiuza...
Back
Top Bottom