Ajifanye amemkubalia huyo askari, amrekodi wwakiwa wamekaa wanaongea, na wakati wanaongea mambo ya mapenzi asiache kuongelea kesi yake, jamaa atapatiaka kiulani sana, baadae binti amawambie amebadili mawazo hataki maswala ya mapenzi akomae na kesi, njagu akijidai kuleyta ubabe kuwa hafuatilii kesi binti amtumie clip yz maongezi yao na kumwambia anafungua kesi kkumuhusu yeye, huyo jamaa lazima atamnunulia binti lapotop mpya na risiti yenye jina lake asipate usumbufu.