Uko very low! 1. Hayo ya kumwagia tindikali Kubenea na kumjeruhi Nasari ngoja tuliachie jeshi la polisi litamshughulikia Lowasa baada ya wewe kupeleka ushahidi. Na kama ni raia mwema wa nchi hii hebu peleka ushahidi wako polisi. 2. Suala la Katiba ya Warioba unawafahamu ambao hadi walimpiga ngumi mzee Warioba wakiipinga hiyo katiba yake lakini chama chako kiliwapa vyeo, sasa tuonyeshe, kwa uwazi ushiriki wa Lowasa katika kuratibu hilo unaloliita kundi la kukataa Katiba ya Warioba, na usije na hoja za kilevi tu hapa!
Kuhusu Lowasa kutofanya kampeni Kibamba, wewe ulikuwa miongoni mwa wapangaji wa ushiriki wa viongozi na watu maarufu ndani ya Chadema katika kampeni hizo hadi ufikie hitimisho hilo? Mbona husemi kuhusu majimbo mengine ambayo hakwenda pia? Hoja hii nayo ni ya kilevi!