Sakata la Dangote: Kama ni kuondoka na aondoke tuu

Hii ni too much, kwa madai ya serikali hatuwezi ku deal na mfanyabiashara huyu

Nitashangaa sana kama serikali itakubaliana na matakwa ya dangote cement, itakuwa ni kuua moja kwa moja viwanda vingine vya cement hapa nchini vilivyofanya uwekezaji wa kutisha na ku struggle kwa miaka mingi mpaka kukua.

Hii iwe fair game, fair competition siyo kuwafunga wengine kwa ma kodi na yozo za kutosha kidha kumpendelea mwekezaji mmoja, yani tuue viwanda vitano kwa ajili ya kumtajirisha dangote...hii haiwezekani

Mazingira, kodi na incentives zote ziwe fair kwa wazalishaji wote wa cement la sivyo tutaua viwanda vyetu vya wazawa na kukuza cha mgeni ambaye halipi kodi na kila kitu anataka kiwe bure

Na wewe unaamini maneno ya sirikali kwamba Dangote anataka gas ya bure???
 
Hii ni too much, kwa madai ya serikali hatuwezi ku deal na mfanyabiashara huyu

Nitashangaa sana kama serikali itakubaliana na matakwa ya dangote cement, itakuwa ni kuua moja kwa moja viwanda vingine vya cement hapa nchini vilivyofanya uwekezaji wa kutisha na ku struggle kwa miaka mingi mpaka kukua.

Hii iwe fair game, fair competition siyo kuwafunga wengine kwa ma kodi na yozo za kutosha kidha kumpendelea mwekezaji mmoja, yani tuue viwanda vitano kwa ajili ya kumtajirisha dangote...hii haiwezekani

Mazingira, kodi na incentives zote ziwe fair kwa wazalishaji wote wa cement la sivyo tutaua viwanda vyetu vya wazawa na kukuza cha mgeni ambaye halipi kodi na kila kitu anataka kiwe bure
Kwa akili zako unakubaliana na madai ya serikali at kwamba anataka gas bure...??? Does it make any sense?? This is a blatant hoax.. Dangote ni mfanyabiashara mkubwa dunia hawezi hata siku moja kuleta madai hayo.. Muulize vizuri huyu waziri wenu mbabaishaji leo atakuwa na version 3 ya uongo
 
kusema mengi bila ya kujua mkataba na makubiliano ya kuja Tanzania yalikuwaje ni kupoteza muda, tuwe wakweli kwa kusikiliza pande zote mbili, sasa unasema aondoke tu, kwa kuwa wewe haikuathari moja kwa moja, tuwe na uwezo wa kufikiri kabla ya kuandika.
Aondoke vipi? Na mitambo yake je?
Poor thinking

Mtazamo wangu ni kua hii nchi watu wote wamekua wana siasa.
Haiwezekani mtu atoe malalamiko yajibiwe kisiaasa ni ujinga.
Ili ukweli ujulikane wekeni mikataba hazarani tujue faida/hasara ya yeye kuwepo au kuondoka ndio tutaweza kusema chochote.

Vinginevyo ni picha tunachezewa ili wengine waendelee kupiga dili.
 
Kushoto kuna wauza sembe
Kulia kuna wafanya business wakubwa
Mbele kuna mahakama ya mila imepambwa na waliotumbuliwa
Nyuma kuna maono ya Lema

Kwa juu naona Dangote anashuka, Mafia wanampa kampani kwa mbaaaaaali.

Mwisho wa hii picha naona kama kuna kulia vile.

Umeona mbali sana.

ONYO, Chunga na ogopa kusema ukweli yasikukute ya Lema kwani kuna wanaokutegemea.
Chunga sana ulicho nacho asije mwovu akakuccm.
 
Ama kweli humu kuna watu wana akili mgando.
Yule ni mwekezaji ,kabla hajawekeza Tanzania kuna mikataba au makubaliano aliyosainiana na serkali ndo akaamua kuwekeza.

Sasa kama serkali haizingatia makubaliano waliyokubaliana toka mwanzo kwa nini Dangote asilalamike.

Kosa tusimtwishe Dangote,kosa ni serkali kusaini makubaliano baadae inashindwa kutekeleza.serkali iwe makini kupitia mikataba ndo wasaini sio kuwageuka wawekezaji

Unavyoshabikia Dangote aondoke kinachokusumbua ni wivu wa maendeleo kwa vile Dangote ni tajiri.unadhani kuondoka Tanzania ndo atafirisika ,wala hutamzidi chochote.

Pia kumbuka kuondoka kwa Dangote sio suala dogo ,hili litaathiri uchumi wetu litafanya hata wawekezaji wengine waogope kuwekeza .
Tanzania.

Hata hiyo Tanzania ya viwanda tunayoitaka ,waziri mwijage alisema serkali haita jenga viwanda Bali yenyewe itatengeneza mazingira mazuri kuvutia wawekezaji waje wajenge viwanda.
Haya sasa wawekezaji ndo hao tunawatolea shombo.kwa mfumo huu Tanzania ya viwanda itabaki kuwa ndoto.
 
Wasije kabisa!!! Nchi yetu ni tajiri kuliko Dangote! Tena mwambieni huyo dangote wenu hatumtaki na awaambie na wawekezaji wengine wote kuwa hatuwataki!! Tumeshaagiza nchi hii iwe ya viwanda na tutavijenga wenyewe! Ala!! [HASHTAG]#teamkunimbichi[/HASHTAG]
Goodness gracious
 
Yani kweli nimeamini mwenye shibe hamjui mwenye njaa .kabla ya Dangote cement ilikua bei juu baada ya dangote ukaonekana ushindani wa kibiashara cement ikashuka bei hata nyumba bora zikaongezeka kwa maskini. sasa imewauma kununua cement kwa bei poa yani uhalisia wa kumsaidia mtanzania katika maisha bora hayapo ni unafiki tu.
Dangote hatengenezi cement eti kumnufaisha mtanzania, anachotaka yeye ni maximum profit na ku break even mapema

Tusisahau kwamba unafuu wa bidhaa zake ni kwa sababu ya kutokulipa kodi na vingine alivyopata kwa unafuu tofauti na wazalishaji wengine kama vile twiga, nyati na tanga cement.

Kwanini serikali impendelee mmoja?ili kuweka ushindani mzuri wote wa operate kwa same rules na kufata taratibu sawa, tunapwnda sana cheap bila kujua unang'atwa huku na huku unapulizwa siku ya kuja kushtuka umeisha
 
-->>mtampandisha mtu mzuka afanye kweli nyieee....kabla ya kutafakari kwa kina....../
*makaa ya s.a wanayanunua kwa being gani?
*na hapa tanzania watayapata kwa being gani?
direct mpaka kiwandani.....
~~ubora wa makaa,aina za machine...
matching / makaa aina gani na standard gani yanafaa kwa burners zao.
••YAPO MASUALA YA KITAALAM HAPA NA SI PA PA PA PA PA PA ...
 
Acha fitina dangote amesaidia sana bei ya Cement kushuka Kwa kiasi kikubwa, unanifanya nianze kuamini kuna vita ya chini Kwa chini anapigwa Dangote Cement na washindani wake ktk biashara ya Cement, kama walimkubalia mwanzo hawana budi kutekeleza kwani matunda yake tumeyaona japo Kwa muda mfupi.
Mkuu ni sawa kuwatreat tofauti hawa wazalishaji wa cement? Ni sawa na kama unapigana na mwenzako ambaye amefungwa mikono haiwezekani
 
Na mkumbuke na ajira zetu watanzania zinazidi kupungua .....Dangote nitakukumbuka sana ulifanya mjengo wa sista wangu na wangu kuweka kumalizika salama,heshima kwako Dangote ngoja hawa wanaofurahia kuondoka waisome namba vizuri
 
Bonnge la investment km ile kufunga sikubaliani na hiyo hoja, wakae wakubaliane ili kiwanda kiendelee kufanya kazi.

Hata hivyo kiwanda kimesaidia sana wana mtwara , pia kuleta competition kwenye bei ya saruji Tanzania bara.
Competition kivipi?kupambana na wenzake waliofungwa mikono?
 
Kwa akili zako za mapumbu unakubaliana na madai ya serikali at kwamba anataka gas bure...??? Does it make any sense?? This is a blatant hoax.. Dangote ni mfanyabiashara mkubwa dunia hawezi hata siku moja kuleta madai ya kishoga hayo.. Muulize vizuri huyu waziri wenu mbabaishaji leo atakuwa na version 3 ya uongo
Aisee usiamini sana hawa wanaoitwa wawekezaji...mfanyabiashara mkubwa ama tajiri mkubwa,
 
Maono na mtizamo wangu hiki kiwanda cha Dangote hakina faida kwa wananchi zaidi zaidi kimekuja kuwaletea raia umaskini.

Nakumbuka kipindi cha kampeni tuliahidiwa na raisi Magufuli cement tutauziwa sh 8000/= badala yake imekuwa sivyo ndivyo cement inauzwa 11500/=.

Vile vile wafanyakazi wa kitanzania kulipwa 120,000 kwa mwezi huku wahindi wakilipwa 7,000,000 pamoja na usafiri na mahala pakulala buree. Huu ni udhalilishaji kwa watanzania kufanyishwa mikazi migumu huku wageni wakipewa hela ndefu na serikali ikiyajua haya yote.

Mie nadhani hiki kiwanda hakina tija kwa Watanzania bora kifutwe tu.
 
Back
Top Bottom