Recent content by egbert44

  1. egbert44

    "Hp proliant 380p gen 8" rack server hiyo ipo sokoni 1mtsh

    The HP ProLiant DL380p Gen8 is a versatile 2U rackmount server designed for a wide range of workloads, from general-purpose applications like file/print or web serving to demanding tasks like virtualization and cloud solutions. Here's a summary of its key features: Processor: Supports two...
  2. egbert44

    Video: Zitto Kabwe akiunga mkono faragha za watu hata kama ni ushoga ulipigwa marufuku kisheria

    Swali linatakiwa liwe na mitego baada ya kugundua kila mpenda democracy anaunga mkono usawa wa kijinsia ambamo ndani yake ndo kuna ushoga. Swali liwe hivi:- Ukiachia mbali juu ya kuheshimu faragha za watu nini maoni yako juu ya kukubali au kukataa mambo ushoga na ujumla wake
  3. egbert44

    Ni Nini kilipelekea Simba kuchabangwa 1-5?

    Matokeo yale yanatufundisha tusiishi sana kwa imani upo ushahidi wa baadhi ya wanachama kwa nyakati tofauti walieleza hisia zao kuwa uchezaji wa timu yao unawakosesha amani pia wapo wachambuzi waliosema simba hii hata ukiiangalia bar unasinzia pia wapo waliohoji kwa nini baadhi ya wachezaji...
  4. egbert44

    Hivi George Mkuchika ndio Kingunge Ngombare Mwiru wa zama hizi?

    Siasa inahitaji wisdom hata mahakamani wapo wazee makanisani na karibu board nyingi hapa Tanzania ni vitengo vya wazee Yapo mambo yanahitaji umri mwingi na utulivu wa akili kitu ambacho huwezi kukipata ukiwa kijana au before 70s
  5. egbert44

    Gender ni mbaya sana imetengeneza ubaguzi

    Sex ni maumbile Gender ni jinsia Jamii imejenga hoja baada ya ujuzi duniani kuongezeka unakuta mtu jinsia ya kike ila ana maumbile ya kiume teh teh teh teh
  6. egbert44

    Mrisho Mpoto acha kuhutubia kwenye shughuli za Serikali, umealikwa kuimba sio kuhutubia

    Toka Magu atutoke sisikii hata watu bar wakiomba mziki uzimwe wasikilize taarifa ya habari Mpoto kwa Jiwe alidunda
  7. egbert44

    Diamond Platnumz badili mwenendo before it’s too late!

    Kwa mtu aliyefika ulaya atajua nini maana ya madawa ya kulevya wanatumia watoto vijana na wazee na ukiwauliza watakueleza faida zake tu hasa ya kujiona hapo ulipo una talent gani bila kusubiri mentor akuone na wengi wa watumiaji wana akili sana tena kwa kufikiri kwa haraka ila ndo inahitaji uwe...
  8. egbert44

    Rais Samia ampongeza Dkt.Tulia Kushinda Urais IPU

    The Inter-Parliamentary Union (IPU) consists of all national parliaments around the world, currently comprising 179 member parliaments. Each member parliament designates a delegation of MPs to represent them in IPU activities. The role of the IPU is to facilitate dialogue, exchange of...
  9. egbert44

    Natumia Biblia kutatua changamoto ( Updates: Kwa sasa sifanyi tena hii kazi)

    Tekeli Peresi is a phrase that has its roots in the Bible, specifically in the Book of Daniel. It is written on a wall during the famous biblical story of the writing on the wall. In the story, King Belshazzar of Babylon is hosting a great feast and using the sacred vessels from the temple in...
  10. egbert44

    Natumia Biblia kutatua changamoto ( Updates: Kwa sasa sifanyi tena hii kazi)

    Ngoja nikutafutie odds kesho utanishukuru baadae
  11. egbert44

    Mahakama Yakubali Ombi la Mhasibu Kupinga Uamzi wa Rais Samia Kufukuzwa Kazi

    Hata Rostam wa CCM amewahi sema mahakama zinapokea maelekezo
  12. egbert44

    Tuweke hisia pembeni Israel ni ya Waisrael

    The establishment of Israel in 1948 led to an influx of Jewish immigrants from various parts of the world. These new immigrants, often referred to as "new Israelites" or "new immigrants," came from a range of countries, including Europe, North Africa, the Middle East, and other regions. Many of...
  13. egbert44

    Tuweke hisia pembeni Israel ni ya Waisrael

    The ancient Israelite kingdom refers to the historical kingdoms of ancient Israel, primarily during the First Temple period (roughly 1000 BCE to 586 BCE). The Israelites were a Semitic people who claimed descent from the biblical patriarch Jacob, renamed Israel. They are recognized as one of the...
  14. egbert44

    Tuweke hisia pembeni Israel ni ya Waisrael

    Before 1948, the region that is now known as Israel was known as Mandatory Palestine, which was under British administration. Prior to British rule, the area was part of the Ottoman Empire for centuries. The population of Mandatory Palestine consisted of a diverse mix of Arabs, Jews, Christians...
  15. egbert44

    Huduma ya Write-ups

    Nakupataje
Back
Top Bottom