balibabambonahi
JF-Expert Member
- Apr 5, 2015
- 14,459
- 12,584
Ilikuwa tarehe 5/11/2023 siku ambayo mashabiki wa Simba waliamini Kwa kuwa kulikuwa na Mvua basi wangemfunga mpinzani wao mkubwa Yanga.
Wanasimba walijiapiza kwamba lazima washinde Ile mechi na hata wakampa hadhi ya mgeni rasmi mchezaji wao waliyetegemea angefunga magoli au angalau goli Moja, Kibu Dennis.
La haula ,Simba alichapwa kama mtoto mdogo,akaondoka na kapu la magoli mwisho wa siku.Bado mashabiki na wapenzi wa Simba hadi leo hawaamini kilichotokea Pamoja na kumfukuza kazi kocha wao a k a KaSHAIJA BuTEGE bado hawajapata majibu.
Je, ni nini kilisababisha Simba kukandwa 1-5;siku ya 5/11/2023?