Recent content by efn

  1. efn

    NMB northern zone wamejibu

    Umejib vizur ingawa bado upo juu... wengi wanalipwa laki 5 mkuu so atleast useme salary range ya kati ya laki 4 hadi 6 bas...
  2. efn

    Mwanangu yupo njia panda athibitishe wapi kati ya UDSM na UDOM

    Boss...Tourism iko poa na hata finance iko poa ila katika labour market BCom Finance ina comparative high labour market power ukicompare na BCom Tourisms so in my side aende BCom Finance ... Pili cost analysis ya hio miji vyuo vilipo yan DSM na DOM ts better aende DOM akasome hio BCom Finance.
  3. efn

    Tatizo la maradhi haya ya ngozi

    Ndio inatumika
  4. efn

    Tatizo la maradhi haya ya ngozi

    Bosi pole sana ... nakushauri kama unauweza fika KCMC hospital idara au kitengo cha Ngozi, naamini utasaidiwa na kutatuliwa tatizo la mwanao.
  5. efn

    Upi ni Mfuko bora wa hifadhi ya Jamii?

    Bank bora kwa sasa ni CRDB pia kwa mfuko uliobora kuliko mingine aingie LAPF .... NB. Huu ni ushauri tu pia yeye mwenyew anaweza tembelea tovuti ya SSRA ( huyu ni regulator) wa mifuko ya hifadh ya jamii pamoja na LAPF pia ajitahid kupitia bank performanc report toka BoT pamoja na bank husika...
  6. efn

    Ushauri kati ya IPHONE 6 Plus na Samsung galaxy A8

    Nahisi uliuziwa techno...nnatumia jf, nadowload nyimbo na video pia plus apps kibao kwenye iphone
  7. efn

    Ushauri kati ya IPHONE 6 Plus na Samsung galaxy A8

    Acha ubishi... umeambiwa ukweli mtupu
  8. efn

    Mhe. Nape Atapokea Leo Ripoti ya Uvamizi wa Clouds Saa nane

    ITV MUBASHARA NOW... Report ya Tukio la uvamizi wa RC, Clouds Media.
  9. efn

    Faida za kumiliki hisa za Vodacom

    EXPECT GAWIO KULINGANA NA HISA 100 UTAKAZOZINUNUA KAMA KAMPUNI IKIPATA FAIDA NA IKAAMUA KUWAGAWIA KAMA GAWIO PIA EXPECT KUPEWA "0" KAMA GAWIO ENDAPO KAMPUNI ITAPATA HASARA PIA UKIONA HII NI BIASHARA KICHAA UNAWEZA PIA KUZIUZA HISA ZAKO KULINGANA NA BEI ITAKAYOKUA SOKONI KWA WAKATI HUSIKA KAMA...
  10. efn

    Faida za kumiliki hisa za Vodacom

    kuna mdau kaelezea vizuri,fatilia page ya nne utaona alivyochambua hili suala ila kwa bei Ordinary shares ni bei chee sana ambazo kila mtu anaeeza kuzimiliki hata mtu wa kipato cha chini lakin Preferencial shares zenyew ziko bei juu ndio maana hata kweny makampuni mengi makubwa unaeza kuta mtu...
  11. efn

    Faida za kumiliki hisa za Vodacom

    PIA HAWA WANAHISA ZA KAWAIDA WANAPATA HAKI YA KUSHIRIKI VIKAO VYA WANAHISA NA KUPIGA KURA ILHAL PREFERED SHAREHOLDER HAWANA HAKI YA KUPIGA KURA KWENYE VIKAO
  12. efn

    Faida za kumiliki hisa za Vodacom

    hakuna kitu kama hiki mkuu,inazalishaje jio 28 na 42?hivi hufatilii soko ls hisa kuona bei za jisa zinavyopanda na kushuka?unaweza kununua hisa kwa 850 na baada ya muda kutokana na ufanisi wa kampuni,bei ya hisa ikashuka hata hadi kufikia 500...watanzania wengi hili hawalijui,wao wanajua tu...
  13. efn

    Faida za kumiliki hisa za Vodacom

    unaongea too technical,waweken watu wazi kua kampuni ikipata hasara hata miaka mi5 mfululizo bas hata na gawio kwa kipindi hicho chote hakuna.Mbona hicho hukizungumzii?eleza yote faida ni zipi 1,2,3 ....6,7 na hasara ni hizi 1,2,3,4,5,.....10 then mwananchi yeye ndio ataamua anunue au...
  14. efn

    Faida za kumiliki hisa za Vodacom

    MKUU HIO 10% SIO HASARA KWA KAMPUNI,HIO NI BEI YA HISA KATIKA SOKO LA HISA MAANA HUA INAPANDA NA PIA HUA INASHUKA BEI KWA MAANA KUA UNAWEZA KUNUNUA HIZO HISA 100 LEO KWA (100 × 850 = 85,000/=)LAKINI BAADA YA MUDA FULANI BEI YA HISA SOKONI IKAPANDA HADI KUFIKIA 900 MAANA YAKE HAPA UKIUZA HISA...
Back
Top Bottom