Recent content by edxxon methods

  1. edxxon methods

    JamiiForums Tanzania Kwanini hakuna hata nchi moja ya kiarabu yenye demokrasia?

    Mkuu itakuwa una stress sana ya maisha.😂😂😂😂 Kunywa maji mengi mura
  2. edxxon methods

    JamiiForums Tanzania Usiende kwa mganga kutaka utajiri ila kamwambie hivi...!!

    😂😂😂😂😂
  3. edxxon methods

    JamiiForums Tanzania Hakuna mganga wa kienyeji wa ukweli, wote ni matapeli. Mtu anayetoa ushuhuda kuwa mganga fulani ni kiboko huwa ni dalali wake

    Nashida na Mawasiliano na wewe. Nayapataje? Nisaidie muhimu sana
  4. edxxon methods

    JamiiForums Tanzania Jambo gani la ajabu ulishuhudia likifanywa na mtu kwa siri akidhani haonekani?

    😂😂😂😂😂😂😂
  5. edxxon methods

    JamiiForums Tanzania Natafuta vijana tupige KAZI ya kuuza Bundle mtandao ,tupate Mia Mia.

    Hii taarifa ya wewe kuuza ma bandle, makampuni husika ya simu wana taarifa nayo? Kwa maana TIGO , VODA HALOTEL wako humu na wana ona unachokifanya je kama hawana taarifa hawawezi zuia mchakato?
  6. edxxon methods

    JamiiForums Tanzania Milioni 70 inatosha kufungua Pharmacy ya jumla jijini Dodoma?

    Hujamuelewa rudia kusoma vizuri
  7. edxxon methods

    JamiiForums Tanzania Ni benki gani inatoa mkopo kwa wafanyabiashara wadogo pasipo udhamini wa nyumba?

    Habarini wana forum, Mimi ni mfanyabiashara. Nipo kwenye kundi la wafanyabiashara wadogo kwani nina duka linauza vifaa vya umeme, hasa umeme wa solar. Ninauza battery ya solar, solar panels, lantern, taa, nyaya, Radio na TV zinazotumia umeme wa solar, pasi za solar, na vifaa vingine vya umeme...
  8. edxxon methods

    JamiiForums Tanzania Hackers wafanya yao website ya UDSM

    Wanazingua, unaweza kuingilia system... Nenda ka hack Voda au Tigo chukua mitonyo m-pesa au Tigo pesa then kafanye bussness. Ka hack NMB iba mitonyo.. Unapambana ili uajiriwe. Ajira ni udwanzi tu
  9. edxxon methods

    JamiiForums Tanzania Msigwa: Sitishwi na chochote japo Jeshi la Polisi linatumika na CCM Iringa Mjini

    Acha ubwege, uyo DC ni yesu mpaka asitajwe?
  10. edxxon methods

    JamiiForums Tanzania Afande Sele amtukana matusi mazito Sugu

    Hata Mimi pia
  11. edxxon methods

    JamiiForums Tanzania Nauza mashine ya kutengeneza chaki

    We mwana sio mzuri
Back
Top Bottom