Msigwa: Sitishwi na chochote japo Jeshi la Polisi linatumika na CCM Iringa Mjini

chuuma

JF-Expert Member
May 19, 2015
363
557
Mh Msigwa alituhumu jeshi la polisi kutumika na chama cha mapindizi katika jimbo analoliongoza la Iringa Mjini. Na hii imetoka na yy kuwekwa mahabusu na hata kuzuiwa kuongea na wananchi wake

Mh msigwa ashitushwa sana na jeshi la polisi kuweka zuio la mikutano yake ambayo ipo kisheria aliyokuwa ameiaza jimboni kwake, ili kuongea na wananchi kupata maoni yao ambayo alitaraji kuwasilisha bungeni hivi karibuni. Amefanikiwa kuongea na wananchi wa kata ya Kihesa katika viwanja vya kihesa sokoni.

Kwa mjibu wa Mh Msigwa anasema anashangazwa ana na polisi waliomkamata na kumuweka mahabusu huku hawana hoja za msingi zaidi wameonekana kumlazimisha kutoa maelezo ambayo hayana msingi kwa mjibu wa mh Mbunge. Ameliweka swala hilo kisiasa

Kwa mjibu wa mh Msigwa anataraji kuwaburuza kortini wahusika wote ili wananchi wapate haki thabiti ya kuongea na muwakilishi wao bungeni bila kipingamizi

Na ameongeza kwa kusema ccm imepoteza mwelekeo na ndio maan wanatumia vyombo vya dora kulazimisha watu wawapende anatamba kuwa hakuna atakayeweza kuwafanya watu wa Iringa kubadilisha mwelekeo bila sababau wakati maisha wanayoishi wanayajua na hata hivyo ameweka bayana kuwa wananchi wa Iringa si wajinga wanajitambua.

Anasema hatishiki na haogopi wakati wa vitisho umekwisha pita na haogopi lolote
Mh Msigwa Anasema
" Haki na uhai wetu ,haki ni kubwa sana kuliko uhai wetu"hivyo wamekwisha vuka kipengele hicho cha vitisho.
Mh Msigwa analitaka jeshi la polisi kufanya kazi kwa weledi ili kudumisha amani ya nchi yetu.

Kwa taarifa zaidi endelea kuwa nami karb
 
Du haya Bwana.Hata mchumba ukimlazisha akupende atafanya hivyo lakini sii kutoka moyoni Hiyo lakini ndoa itaishia njiani.
 
Inawezekana kwenye mkutano huko kihesa badala ya kusikiliza kero za wananchi ye kaanza kumshambulia RC..wakati kwenye ziara za RC hatukuona hata sehemu moja akimtaja msigwa..huyu msigwa ana matatizo sana..kuna kipindi alimtuhumu dc kasesera hadi akataka kupigana kuwa anapenda sana kumtajataja..kaja RC kaonaa hatajwitajwi, ye ndio anaanza kumtajataja kwa kuita waandishi na mikutano ya kisiasa..azuiliwe tu maana hana hoja za kusaidia wananchi.
 
"Inawezekana"???!!! Ccm akilizenu zinawatosha wenyewe!
 
Mungu mbariki Msigwa , kiboko ya ccm na polisi Iringa , Taarifa za hivi punde zinaonyesha kwamba Polisi Iringa inamuogopa Msigwa kuliko inavyoogopa Alqaeda !
 
Inawezekana kwenye mkutano huko kihesa badala ya kusikiliza kero za wananchi ye kaanza kumshambulia RC..wakati kwenye ziara za RC hatukuona hata sehemu moja akimtaja msigwa..huyu msigwa ana matatizo sana..kuna kipindi alimtuhumu dc kasesera hadi akataka kupigana kuwa anapenda sana kumtajataja..kaja RC kaonaa hatajwitajwi, ye ndio anaanza kumtajataja kwa kuita waandishi na mikutano ya kisiasa..azuiliwe tu maana hana hoja za kusaidia wananchi.
Acha ubwege, uyo DC ni yesu mpaka asitajwe?
 
Back
Top Bottom