Recent content by Edwin34

  1. E

    JamiiForums Tanzania Nani wameiba 480 billion Hazina?

    Wapigwe tu........
  2. E

    JamiiForums Tanzania Live updates 02/02/2014:yanga vs mbeya city

    Yanga wanaongoza kila kitu kulia wakishafungwa! Kufia uwanjani wakifungwa! Cha muhimu leo washabiki wa yanga wasikae mbali na vyoo! Leo hawalii wala hawafi lakini watakwenda sana chooni! Homa za matumbo!!
  3. E

    JamiiForums Tanzania Shilole Ana Chombo Kipya, Mzungu

    Bigup! Mamaa wa kukomaa na jiji! Igunga siyo ishu usirudi!!
  4. E

    JamiiForums Tanzania Nahisi nimeambukizwa HIV, Ushauri please

    Nenda kapime kama ushahidi tu! Si uhakika kwamba umeambukizwa! Na hizo dalili unazokuwa unahisi zinakutokea ni woga wako tu! Ndo inapelekea uone kama tayari una maradhi! Mjomba uwe na imani!
  5. E

    JamiiForums Tanzania Ndio mapenzi ya kisasa au ananipotezea muda?

    Huyo jamaa bado ana roho nyingi kwa maana ya kuwa na wapenzi wengi! Bado ana tamaa ya fisi! Biashara gani hadi anaenda na simu bafuni!! Tafakari chukua hatua!!!
  6. E

    JamiiForums Tanzania Wimbo wa Bahati Bukuku ''DUNIA HAINA HURUMA''

    Halafu Bahati Bukuku ni muimbaji mzuri sana wa nyimbo za injili! Yaani anaimba ametulia,ujumbe unafika vizuri! Lakini ile cream usoni anazidisha ni hatari.. ..! Inaboa kwa kweli mimi shabiki wake no.1 lakini apunguze kujikoboa!!!
Back
Top Bottom