Wimbo wa Bahati Bukuku ''DUNIA HAINA HURUMA''

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
371,548
Reaction score
860,642
ni wimbo mzuri wenye mdundo mzuri na ujumbe unaotia. simanzi lakini uliokosa uhalisia na unaitwa ni wimbo wa dini lakini kimsingi asilimia tisini haujakaa kidini bali ni hadithi ya maisha
Tuangalie uhalisia unapokosekana
1.Baaada ya kupata masaibu ya mme wake anahangaika kutafuta msaada wa mawifi na rafiki wa mumewe lakini kila mtu anakuwa na udhuru, ina maana kati ya wote hakuna hata mmoja mwenye msaada?basi kama ni hivyo una matatizo wewe
2.Anajaribu bank lakini akounti zote anakuta zina shida hivyo hawezi kutoa pesa ,,,katika dunia hii ya utandawazi ni kitu ambacho hakiwezekani na ikitokea hivyo una bonge la nuksi
3.Unafika hospitali daktari anakataa kumtibu mgonjwa kwakuwa huna pesa lakini unamiliki vogue .jamani tuwe wakweli ina maana unamiliki vogue lakini huna hata bima ya afya yenu? na hiyo ni hospital au ni kidispensari? kwakuwa hospital kubwa ya hadhi yake hawatangulizi hela bali matibabu kwanza malipo baadae
4.Daktari anakataa kuchukua gari kama bond kwakuwa inakula sana mafuta, hv unaweka bond au unampa dokta aitumie? na hicho ni kidispensari cha mtu binafsi na si hospital .hospital ya kweli ni taasisi ambayo kuna utaratibu wake hivyo huwezi kwenda kuongea na dokta kuhusu malipo
5.una miliki vogue lakini nyumbani huna hata hakiba ya laki5? au huna biashara au huna rafiki binafsi wa kuweza kumkopa ?au hujui wale wanaochukua mali na wakatoza riba ukachukua kiasi unachohitaji?

Tatizo la Bukuku ni tatizo la waimbaji wengi hawana watu mahiri wa kuhariri kazi zao wanatunga wanapeleka studio produser anaweka beat ngoma inaenda hewani matokeo yake ni kutoa sub standards
 
Amani iwe nawe Mshana umenifurahisha sn.Umechambua ki fasihi na uhalisia.Tatizo watu wanasikiliza midundo tu hawafuatilii logic. Kwa Tz mapungufu ni mengi sn yan hata nikiangaliaga movie za kibongo huwa nafanyaga uhakiki mpaka inasikitisha.wanaandika iangaliwe na watu wa age ya 18 lakn mapunguf kibao wanatuona watoto
 
Haiwezekani kila unaemfata akutose eti hadi marafiki wa karibu manake we unaishi dunia gani sasa ya kukosa hata laki 5 kwa personality aliyoigiza nayo kwenye vid haiwezekan
 
Wengi wa Waimbaji wa nyimbo za Injili Bongo wanafanya biashara na sio huduma ya kiroho ndo matokeo yake hayo.. Skatai kua ni muhimu apate chochote ila hakuna moyo wa huduma pale, mawazo yote ni kupiga hela tu... na ana advocate tabia mbaya km kutoa mwili wake (ngono) km suluhisho la matatizo ndio maana naishiaga kumskiliza don moen, hyms, maranantha na women of faith nikichoka nashika mwimbieni bwana au tenzi naimba mwenyewe...!!!! Akina bukuku wanaanza kuleta sura ya Bongo movie kwenye huduma ya kiroho.
 
Waimbaji watabaki kuwa wasabato tu, streight ujumbe hakuna kupinda pinda kama ni msikilizaji wa nyimbo za injili then trust me tafuta cd yao hata moja
 
ni wimbo mzuri wenye mdundo mzuri na ujumbe unaotia. simanzi lakini uliokosa uhalisia na unaitwa ni wimbo wa dini lakini kimsingi asilimia tisini haujakaa kidini bali ni hadithi ya maisha
Tuangalie uhalisia unapokosekana
1.Baaada ya kupata masaibu ya mme wake anahangaika kutafuta msaada wa mawifi na rafiki wa mumewe lakini kila mtu anakuwa na udhuru, ina maana kati ya wote hakuna hata mmoja mwenye msaada?basi kama ni hivyo una matatizo wewe
2.Anajaribu bank lakini akounti zote anakuta zina shida hivyo hawezi kutoa pesa ,,,katika dunia hii ya utandawazi ni kitu ambacho hakiwezekani na ikitokea hivyo una bonge la nuksi
3.Unafika hospitali daktari anakataa kumtibu mgonjwa kwakuwa huna pesa lakini unamiliki vogue .jamani tuwe wakweli ina maana unamiliki vogue lakini huna hata bima ya afya yenu? na hiyo ni hospital au ni kidispensari? kwakuwa hospital kubwa ya hadhi yake hawatangulizi hela bali matibabu kwanza malipo baadae
4.Daktari anakataa kuchukua gari kama bond kwakuwa inakula sana mafuta, hv unaweka bond au unampa dokta aitumie? na hicho ni kidispensari cha mtu binafsi na si hospital .hospital ya kweli ni taasisi ambayo kuna utaratibu wake hivyo huwezi kwenda kuongea na dokta kuhusu malipo
5.una miliki vogue lakini nyumbani huna hata hakiba ya laki5? au huna biashara au huna rafiki binafsi wa kuweza kumkopa ?au hujui wale wanaochukua mali na wakatoza riba ukachukua kiasi unachohitaji?

Tatizo la Bukuku ni tatizo la waimbaji wengi hawana watu mahiri wa kuhariri kazi zao wanatunga wanapeleka studio produser anaweka beat ngoma inaenda hewani matokeo yake ni kutoa sub standards

cjui kama umesikiliza vizurihuo wimbo mwimbo ni mzuri hauna shida yoyoye maana mwisho anasema nataka kutengeneza na yesu kwahyo baada ya yote hayo amegundua hata yeye amekosea anataka kupatana na mungu hyo ndio lengo baada ya kisa upo hapo.
 
Huu wimbo mimi siupendi kwakuwa umeenda kinyume na maandiko, Kwa macho ya kawaida tutamsifu sana ila kwa roho ya kimaadili hakutakiwa kuimba vile.

1.Amejaribu kuwaonyesha wapendwa kuwa.zinaa ikitumika vizuri inaweza okoa maisha.

2.Anajaribu kuleta visingizio vingi ambayo vinataka kuwaamisha wapendwa kuwa ngono/zinaa ndio ilikua lasta option kuokoa maisha ya mumewe.

3.Huruma ya mwanamke katika wimbo ule umebebwa na kitendo cha bukuku kutoa penzi nje,kitu ambacho hakina msingi,gari angeuza chini ya bei angekosa mteja? Ngono imetamalaki katika wimbo ule kwaiyo mimi kama mkristo mwenye msimamo wa kawaida siupendi wimbo ule.
 
ni wimbo mzuri wenye mdundo mzuri na ujumbe unaotia. simanzi lakini uliokosa uhalisia na unaitwa ni wimbo wa dini lakini kimsingi asilimia tisini haujakaa kidini bali ni hadithi ya maisha
Tuangalie uhalisia unapokosekana
1.Baaada ya kupata masaibu ya mme wake anahangaika kutafuta msaada wa mawifi na rafiki wa mumewe lakini kila mtu anakuwa na udhuru, ina maana kati ya wote hakuna hata mmoja mwenye msaada?basi kama ni hivyo una matatizo wewe
2.Anajaribu bank lakini akounti zote anakuta zina shida hivyo hawezi kutoa pesa ,,,katika dunia hii ya utandawazi ni kitu ambacho hakiwezekani na ikitokea hivyo una bonge la nuksi
3.Unafika hospitali daktari anakataa kumtibu mgonjwa kwakuwa huna pesa lakini unamiliki vogue .jamani tuwe wakweli ina maana unamiliki vogue lakini huna hata bima ya afya yenu? na hiyo ni hospital au ni kidispensari? kwakuwa hospital kubwa ya hadhi yake hawatangulizi hela bali matibabu kwanza malipo baadae
4.Daktari anakataa kuchukua gari kama bond kwakuwa inakula sana mafuta, hv unaweka bond au unampa dokta aitumie? na hicho ni kidispensari cha mtu binafsi na si hospital .hospital ya kweli ni taasisi ambayo kuna utaratibu wake hivyo huwezi kwenda kuongea na dokta kuhusu malipo
5.una miliki vogue lakini nyumbani huna hata hakiba ya laki5? au huna biashara au huna rafiki binafsi wa kuweza kumkopa ?au hujui wale wanaochukua mali na wakatoza riba ukachukua kiasi unachohitaji?

Tatizo la Bukuku ni tatizo la waimbaji wengi hawana watu mahiri wa kuhariri kazi zao wanatunga wanapeleka studio produser anaweka beat ngoma inaenda hewani matokeo yake ni kutoa sub standards

aisee umeniwahi nilikuwa nataka niulize hivyo hivyo ,benki una pesa eti ATM haifanyi kazi ,..umeshindwa kuingia ndani ya bank kuchukua pesa ,then una vogue bado unaomba omba hovyo bukuku ameshindwa kuonyesha kweli yeye alikuwa anataka msaada maana ameimba kama mtu tajiri mwenye uwezo wa kila aina
alikuwa anataka tu kugegedwa na huyo docta
 
ni wimbo mzuri wenye mdundo mzuri na ujumbe unaotia. simanzi lakini uliokosa uhalisia na unaitwa ni wimbo wa dini lakini kimsingi asilimia tisini haujakaa kidini bali ni hadithi ya maisha
Tuangalie uhalisia unapokosekana
1.Baaada ya kupata masaibu ya mme wake anahangaika kutafuta msaada wa mawifi na rafiki wa mumewe lakini kila mtu anakuwa na udhuru, ina maana kati ya wote hakuna hata mmoja mwenye msaada?basi kama ni hivyo una matatizo wewe
2.Anajaribu bank lakini akounti zote anakuta zina shida hivyo hawezi kutoa pesa ,,,katika dunia hii ya utandawazi ni kitu ambacho hakiwezekani na ikitokea hivyo una bonge la nuksi
3.Unafika hospitali daktari anakataa kumtibu mgonjwa kwakuwa huna pesa lakini unamiliki vogue .jamani tuwe wakweli ina maana unamiliki vogue lakini huna hata bima ya afya yenu? na hiyo ni hospital au ni kidispensari? kwakuwa hospital kubwa ya hadhi yake hawatangulizi hela bali matibabu kwanza malipo baadae
4.Daktari anakataa kuchukua gari kama bond kwakuwa inakula sana mafuta, hv unaweka bond au unampa dokta aitumie? na hicho ni kidispensari cha mtu binafsi na si hospital .hospital ya kweli ni taasisi ambayo kuna utaratibu wake hivyo huwezi kwenda kuongea na dokta kuhusu malipo
5.una miliki vogue lakini nyumbani huna hata hakiba ya laki5? au huna biashara au huna rafiki binafsi wa kuweza kumkopa ?au hujui wale wanaochukua mali na wakatoza riba ukachukua kiasi unachohitaji?

Tatizo la Bukuku ni tatizo la waimbaji wengi hawana watu mahiri wa kuhariri kazi zao wanatunga wanapeleka studio produser anaweka beat ngoma inaenda hewani matokeo yake ni kutoa sub standards
Umefanya uchambuzi mzuri pongezi kwahilo!! Ila umesahau kwamba Mungu sio mwanadam'' naamanisha hivi ukiwa kwenye majaribu ambayo Mwenyezi Mungu anataka kukuonyesha utukufu au ukuu wake basi hata uwe nani au una mali kiasi gani vyote havikusaidii paka utimize mission yake na ukili ukuu wake..

Kwamaana hiyo kwajinsi nilivyouelewa ule wimbo nikwamba kwayote aliyoyapitia ilikuwa ni mtihani au majaribu ambayo Mungu alikuwa anayakusudia kumuonesha mumewe na ndivyo alivyohitimisha Bukuku mwishoni mwa wimbo!

Hivyo maudhui ya ule wimbo ipo mwishoni mwa tungo zake!

Kidogo nimeeleweka nadhani!
 
Wengi wa Waimbaji wa nyimbo za Injili Bongo wanafanya biashara na sio huduma ya kiroho ndo matokeo yake hayo.. Skatai kua ni muhimu apate chochote ila hakuna moyo wa huduma pale, mawazo yote ni kupiga hela tu... na ana advocate tabia mbaya km kutoa mwili wake (ngono) km suluhisho la matatizo ndio maana naishiaga kumskiliza don moen, hyms, maranantha na women of faith nikichoka nashika mwimbieni bwana au tenzi naimba mwenyewe...!!!! Akina bukuku wanaanza kuleta sura ya Bongo movie kwenye huduma ya kiroho.

Kaka umenena kweli mi huwa naongezea kusikiliza na za rebbeca, kweli waimbaji wa bongo gospel hakuna wanalofanya, mwingine kaimba shetani na mama mkwe wamekalia misumari
 
hii nyimbo inabidi ifanyiwe muvi imekaa poa sana, story inajitosheleza
 
Waimbaji watabaki kuwa wasabato tu, streight ujumbe hakuna kupinda pinda kama ni msikilizaji wa nyimbo za injili then trust me tafuta cd yao hata moja

Subiri kwaya nayofundisha mimi ikirecod, tumefuata misingi ya wasabato katika ujumbe,
 
cjui kama umesikiliza vizurihuo wimbo mwimbo ni mzuri hauna shida yoyoye maana mwisho anasema nataka kutengeneza na yesu kwahyo baada ya yote hayo amegundua hata yeye amekosea anataka kupatana na mungu hyo ndio lengo baada ya kisa upo hapo.

Kaongea stori ya kusadikika, haina huwasilia hata kidogo japokuwa anamalizia hivyo.
 
Waimbaji watabaki kuwa wasabato tu, streight ujumbe hakuna kupinda pinda kama ni msikilizaji wa nyimbo za injili then trust me tafuta cd yao hata moja

Nakuunga mkono 100%. Hata wakatoliki zamani walikuwa na nyimbo nzuri zilizopangiliwa na zenye ujumbe, lakini siku hizi nao pia wameanza kuchakachua na kuingiza kiduku na mipasho. Nyimbo za dini zinapaswa kufanyiwa censorship na wataalamu wa Biblia ili kuhakikisha kuwa ujumbe unaotolewa haukinzani na mafundisho ya kikristo. Siku hizi tunasikia watu wanaimba dhambi na kumsifu shetani kuliko kumwimbia Mungu. Kuna wimbo nimewahi kuusikia kuanzia mwanzo hadi mwisho alikuwa anaimbwa shetani tu, nao pia unaitwa wimbo wa injili! Hizi za Bahati Bukuku anachukua story za mashangingi wa vijiweni anawekea melody, nazo anaita nyimbo za injili! Upotofu mkubwa.
 
ni wimbo mzuri wenye mdundo mzuri na ujumbe unaotia. simanzi lakini uliokosa uhalisia na unaitwa ni wimbo wa dini lakini kimsingi asilimia tisini haujakaa kidini bali ni hadithi ya maisha
Tuangalie uhalisia unapokosekana
1.Baaada ya kupata masaibu ya mme wake anahangaika kutafuta msaada wa mawifi na rafiki wa mumewe lakini kila mtu anakuwa na udhuru, ina maana kati ya wote hakuna hata mmoja mwenye msaada?basi kama ni hivyo una matatizo wewe
2.Anajaribu bank lakini akounti zote anakuta zina shida hivyo hawezi kutoa pesa ,,,katika dunia hii ya utandawazi ni kitu ambacho hakiwezekani na ikitokea hivyo una bonge la nuksi
3.Unafika hospitali daktari anakataa kumtibu mgonjwa kwakuwa huna pesa lakini unamiliki vogue .jamani tuwe wakweli ina maana unamiliki vogue lakini huna hata bima ya afya yenu? na hiyo ni hospital au ni kidispensari? kwakuwa hospital kubwa ya hadhi yake hawatangulizi hela bali matibabu kwanza malipo baadae
4.Daktari anakataa kuchukua gari kama bond kwakuwa inakula sana mafuta, hv unaweka bond au unampa dokta aitumie? na hicho ni kidispensari cha mtu binafsi na si hospital .hospital ya kweli ni taasisi ambayo kuna utaratibu wake hivyo huwezi kwenda kuongea na dokta kuhusu malipo
5.una miliki vogue lakini nyumbani huna hata hakiba ya laki5? au huna biashara au huna rafiki binafsi wa kuweza kumkopa ?au hujui wale wanaochukua mali na wakatoza riba ukachukua kiasi unachohitaji?

Tatizo la Bukuku ni tatizo la waimbaji wengi hawana watu mahiri wa kuhariri kazi zao wanatunga wanapeleka studio produser anaweka beat ngoma inaenda hewani matokeo yake ni kutoa sub standards

Hujawahi kupatwa na majanga wewe subiri yakukute ndipo utakapowaelewa binadamu ni watu wa aina gani na hata usiowadhania watakavyokupa excuse ndipo utabaki unashangaa. Usisahau kuwa siku ya kufa nyani miti yote huteleza so kukumbwa na kisirani kila uendapo ni jambo ambalo linawezekana kabisa katika maisha haya ya |Sayansi na Teknolojia.
Pia usisahau pamoja na kuinjilisha nyimbo ni fasihi na ili lengo litimie lazima yajengwe mazingira lengo likiwa ni kufikisha ujumbe kwa hadhira.

Sisemi kuwa Wimbo huu uko pefrect asilimia zote lakini mapungufu si mengi kama unavyojaribu kutushawishi hapa. Situations alizozielezea zina exist kabisa katika kizazi chetu na shukuru Mungu kama hayajakukuta.
 
Waimbaji watabaki kuwa wasabato tu, streight ujumbe hakuna kupinda pinda kama ni msikilizaji wa nyimbo za injili then trust me tafuta cd yao hata moja
Ambassador kumbe hawapokei hela,yale matamasha ya Xmass na Pasaka kumbe bure...
 
Mtu anatetea alichokiona kwenye ule wimbo kweli? Haha, nadhani watu hawajui maisha magumu, huwezi pigwa chenga na hela una Vogue safi imetulia bna, ile kitu bei ndefu mtu akiuza hata kwa nusu ya aliyonunulia anafungua biashara anapiga hela nzuri tu.. Pale ni full mchakachuo basi hakuna kingine, watu kabla ya kutunga badala ya kukaa na kutafakari muda mrefu kumuonba Mungu kabisa maana ujumbe wowote ambao ni wa kidini waweza kumjenga mtu au kumbomoa, hii ya kuchukua story za kijiweni tyr ishatungwa ni kupiga hela tu hamna jingine.., Mbona wapo waimbaji wanaopiga hela safi tu na bado wanamwimbia Mungu, nlianza kusikiliza kwaya za wasabato ndio nikaona ujumbe kweli, kwa mara ya kwanza wimbo wa dini ulinikaba hadi mwili ukasisimka, hawa wengine unajisikia kuamka tu na kukata kiuno, afu utasikia kata kiuno kwa bwana, ujinga gani huo.., wanavomchezea shetani disco ndo unaleta kwa Mungu sasa umemtofautishaje kama umemuweka level moja na shetani.
 
Back
Top Bottom