- Thread starter
- #21
inasadikika kuwa watu hao wanao iba kwa njia ya mtandao wameongezewa nguvu nahisi nguvu zenyewe ni mwigulu na malimahalafu kunamajizi mengine mawili yameongezwa pale wizara ya fedha! Nchi hii rahaa sana hadi hasira!
inasadikika kuwa watu hao wanao iba kwa njia ya mtandao wameongezewa nguvu nahisi nguvu zenyewe ni mwigulu na malimahalafu kunamajizi mengine mawili yameongezwa pale wizara ya fedha! Nchi hii rahaa sana hadi hasira!
Aisee acha kabisa wazo hilo, utaambiwa kwakuwa nchi hii ina amani hayo mambo mengine ni uchochezi tu wawapinzani. Na bado wataiba sana na utaona wakati wa uchaguzi watu wakipigwa vibaya sana kwa ushirikiano wa vyombo vya ulinzi ili watu wasijefungwa huko mbeleni.CAG hajitumi mpaka asukumwe kamati ya bunge ikinyamaza yeye anapotezea ndo mfumo wa CCM huo
Wizi ni criminal case ikibainika wizi umetokea serekalini ni kazi ya mwanasheria mkuu wa serekali kuandaa jalada la kesi na kulipeleka kwa DPP yeye ndiye mwenye mamlaka ya kufungua kesi kwa niaba ya serekali au hazina kufungua kesi polisi kisha uchunguzi ukikamilika jalada linatumwa kwa DPP kwa ajili ya mastaka lakini CCM wanaona hizi ni Vijisent tu zikipotea watakopa zingine hivyo hawapendi kumpa kazi DPP au pengine ni kulindana tu maana sijawahi sikia kesi ya aina hii tangu nimezaliwa.
Kumbe zilizoibiwa ni ndogo kuliko bajeti ya wizara ya uchukuzi, basi sio issue!ni zaidi ya bajeti ya mwaka kwa baadhi ya wizara, zikiwamo wizara kubwa kama ya Uchukuzi ambayo katika mwaka wa fedha wa 2013/14, kwa mfano ilitengewa Sh491 bilioni.
Nikurekebishe mkuu, wakikamatwa wataombwa RADHI wazirudishe.
Kumbe zilizoibiwa ni ndogo kuliko bajeti ya wizara ya uchukuzi, basi sio issue!