Recent content by edward93

  1. edward93

    PreGE2025 VIDEO: CHAUMMA wametoa wapi pesa? Tazama maandalizi ya Mkutano Mkuu

    Kwenye interview yake aliulizwa kwann hawajaitisha mkutano wa kuchagua mgombea, alijibu ni hawana pesa ya kuitisha mkutano.
  2. edward93

    DOKEZO Responded Hivi Msumi ipo Dar es Salaam kweli?

    Tangazo la kazi ya ujenzi wa barabara ya msumi.
  3. edward93

    Kuna baadhi ya taasisi za umma zinashindwa kuwaboreshea maslahi wafanyakazi wake

    Halmashauri gani nchini inalipa per diem ya 250k?
  4. edward93

    Vituko mitandaoni. Tupia chako

    Usiwe serious sana! Kuna mambo mengne legeza tu ubungo kidogo!
  5. edward93

    Skimming ya nyumba nitumie Wall Putty au White Cement?

    Tumia white cement nje na wall puty ndani! Kama mfuko aupo vizri tumia tu wally puty haina shida pia!
  6. edward93

    Naomba msaada wa wapi naweza kupata hi coolant

    Shukrani sana mzee! Tupo pamoja! We keep learning kila siku. Its a good coolant kwa gari zenye injini kubwa zinazopata heat kwa haraka na pia inasaidia kidgo kwenye tatzo common la subaru la head gasket coz hyo coolant haikai na joto muda mrefu na haishiki joto haraka kama maji au other coolants.
  7. edward93

    Naomba msaada wa wapi naweza kupata hi coolant

    Asante sana mkuu, ntapitia hayo maeneo.
  8. edward93

    Naomba msaada wa wapi naweza kupata hi coolant

    Coolant sio maji tu! Lengo la uzi huu sio mjadala ila ni kupata ninachohitaji. Asante kwa your concern mkuu! Nmekupa mfano wa oil nlidhani ulinielewa ila kwa ulichojibu ukunielewa nilimaanisha hivi ukiona code ya oil mfano 5w30 jua hyo namba ya kwanza inastand kwa viscosity in cold climate and...
  9. edward93

    Naomba msaada wa wapi naweza kupata hi coolant

    Asante kwa ushauri mkuu! Nafahamu hilo ila kuwa antifreeze haina maana kuwa haiwezi kuwa applicable kwa nchi zenye joto, ndio mana kuna oil za 0W zinatumika na huku pia kwenye nchi zenye joto. So hiyo ni additional advantage ya product but haifanyi iwe limited.
  10. edward93

    Naomba msaada wa wapi naweza kupata hi coolant

    Habari wakuu! Naomba msaada wa wapi naweza kupata hi coolant?
  11. edward93

    Mitsubishi Outlander ni gari bora na ngumu sana ila hazina wapiga kelele kuzifanya zishike chati midomoni mwa Watanzania

    Zipo vizuri pia japo ni za kubahatisha mtandaoni ukitaka kuagiza! Nna mwanangu alibahatisha moja yupo nayo mpka sasa sijawahi kumskia akilalamika.
  12. edward93

    Msaada kuhusu Gari hizi aina Copper

    Jamaa yangu alikiagiza kikamsumbuaga sana akakiuza mkoani kwa hasara! Nmewahi kuona pia kwa east cars anasema zina matatizo mengi!
Back
Top Bottom