King gorani
Member
- Oct 30, 2020
- 21
- 8
Kuna baadhi ya taasisi za umma zinashindwa kuwaboreshea maslahi wafanyakazi wake kwa kisingizio kuwa hawana pesa, lakini kuna pesa zinatumika vibaya kwa baadhi ya hizo taasisi utakuta kila mwezi viongozi zaidi ya kumi wanasafiri nje ya nchi kwa kigezo cha kupata per DM bila kuleta tija yoyote kwa taasisi.
Unakuta kwenda nje ya nchi mtu mmoja anachukua zaidi ya millioni 25 na iliwezekana kupunguza idadi wakasafiri hata watu wa 2 au wa3 na pesa zingine zigawanywe ili kuboresha maslahi binafsi ya watumishi kwani linaongeza ufanisi katika sehemu ya kazi.
Kwani watumishi wengi wana maisha magumu na pesa za kuwalipa vizuri zipo sema zinatumika kwa namna tofauti, ningependa wakurugenzi na makatibu wasimamie ili kufanya sekta za umma kuwe na nuru...