Recent content by Edward Mangapi

  1. Edward Mangapi

    JamiiForums Tanzania Posho za kuandikisha sensa 2022 zipoje?

    Malipo sio chini ya 595,000 kwa makalani.
  2. Edward Mangapi

    JamiiForums Tanzania SENSA 2022: Nimefanikiwa kujaza form ya maombi ya kazi ya muda lakini nimekosea kuandika majina ya mdhamini

    SENSA 2022 Nimefanikiwa kujaza form ya maombi ya kazi ya muda kwa ajiri ya kazi ya sensa 2022,lakini nimekosea kuandika majina ya mdhamini mmoja yaani jina la kwanza nimeliweka mwisho na jina la mwisho limekuwa la kwanza. nimejaribu ku log in kwenye account ili nifanye editing ya majina lakini...
  3. Edward Mangapi

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi za muda sensa 2022

    SENSA 2022. Nimefanikiwa kujaza form ya maombi ya kazi ya muda kwa ajiri ya kazi ya sensa 2022,lakini nimekosea kuandika majina ya mdhamini mmoja yaani jina la kwanza nimeliweka mwisho na jina la mwisho limekuwa la kwanza. nimejaribu ku log in kwenye account ili nifanye editing ya majina lakini...
  4. Edward Mangapi

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Unaombaje penzi kwa Mke/Mwenza wako

    Nikimpapasa tu anakuwa mkali
  5. Edward Mangapi

    JamiiForums Tanzania Maisha jijini Kigali, Rwanda yapoje?

    Ok
  6. Edward Mangapi

    JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu tv zenye ving'amuzi vya ndani..

    Bro naomba namba yako ya simu nkupigie unielekeze na mm unavyozipata hizo channel.
  7. Edward Mangapi

    JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu tv zenye ving'amuzi vya ndani..

    Vp bro! Channel hizo unazipata free bila malipo? na unafanyaje? Tv yangu inayo king'amuzi ndani. Pia nina uelewa wa haya mambo. Ila channel hizo ww unafanyaje kizipata ili na mm nizipate?
  8. Edward Mangapi

    JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu tv zenye ving'amuzi vya ndani..

    Nnaomba namba yako ya simu
  9. Edward Mangapi

    JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu tv zenye ving'amuzi vya ndani..

    NA DISH LA FUT 3 AU 6 Naomba namba yako ya simu mkuu nikuulize kitu
  10. Edward Mangapi

    JamiiForums Tanzania Tambua uelekeo wa dishi katika satellite za chaneli (picha za madishi)

    Vp! Mpaka sasa zinapatikana channel gani hapo? Npe freq na s/r nitafafute hiyo satellite
  11. Edward Mangapi

    JamiiForums Tanzania Tambua uelekeo wa dishi katika satellite za chaneli (picha za madishi)

    Vp Astra 28 hawana channels za bongo?
Back
Top Bottom