Msaada kuhusu tv zenye ving'amuzi vya ndani..

Asante mkuu kwa maelezo mazuri..
Yangu imeandikwa DVB-T/T2 then naona ina sehemu ya kadi na matundu mawili ya LNb na Antena...

Samahan tena hizo Antena za Startimea zinauzwa peke yake? Na ni bei gani?
Mimi yangu natumia dish. Nimeunga direct waya toka nje hadi kwenye tundu la LNb. Napata local channel.

Antena unaweza nunua startimes au dukani tu. Zile miba ya samaki.
 
Shukran sana.. naona bora niunganishe dish maana ninalo tayari la ziada.. je unapata local channels zote? Je ni uelekeo upi umeweka, au niongee na fundi atajua namna ya kufanya?
 
Local napata itv, capital, eatv na ile ya msumbiji na radio zake. Fundi aliniambia kuna uelekeo naweza pata channel ten, ten plus, clouds, tv e, tbc, startv. Nikachagua huo wa kwanza.

Pia unaweza ongeza LNb ndogo kwa ajili ya channel kibao za nje.
 
Asante sana..
 
Ok. Ni kweli ving'amuzi vya ndani vipo na vinafanya kazi. Vipo vya aina mbili, DVB T2 na DVB S2.

Pia, DVB S2 zinaruhusu kutumia huduma za startimes na Azam kwa kununua kadi tu.
Fananua vizuri hapa plz.. ni kwa TV tu au na mie mwenye FTA receiver yenye sehemu ya kadi naweza nunua kadi na kupata hizo channel zao..??
 
Hawatoi huduma hiyo
Screenshot_20210902-153511.jpg
 
Local napata itv, capital, eatv na ile ya msumbiji na radio zake. Fundi aliniambia kuna uelekeo naweza pata channel ten, ten plus, clouds, tv e, tbc, startv. Nikachagua huo wa kwanza.

Pia unaweza ongeza LNb ndogo kwa ajili ya channel kibao za nje.
Hizo channel ni bure
 
Shukran sana.. naona bora niunganishe dish maana ninalo tayari la ziada.. je unapata local channels zote? Je ni uelekeo upi umeweka, au niongee na fundi atajua namna ya kufanya?
Usihangaike kutafuta fundi homeboy ingia google. Amini ukimwita fundi kabla hajaja huwa anapitia google kwanza.
 
TV zenye ving,amuzi mimi ninazo tatu sanyo, Philips na legacy lakini moja ndio inakubali dish na antena(legacy) bila kingamuzi, kwa antenna channel ninazopata ni:
1Capitol
2- ITV
3- TBC
4- STAR TV
5- CLOUD TV
6-ETV
7- ALJAZIRA
8- CITIZEN
9- EMANUEL TV.
hiyohiyo tv aina ya Lagency, kwa kutumia dish mwelekeo wa STAR TIME na Zuku nina pata channel nyingi sana zote za nje kwa muelekeo wa France Satellite
Mkuu hizo channel zote unapata bure au unalipia?na kama unalipia ni kwa njia gani?
 
TV zenye ving,amuzi mimi ninazo tatu sanyo, Philips na legacy lakini moja ndio inakubali dish na antena(legacy) bila kingamuzi, kwa antenna channel ninazopata ni:
1Capitol
2- ITV
3- TBC
4- STAR TV
5- CLOUD TV
6-ETV
7- ALJAZIRA
8- CITIZEN
9- EMANUEL TV.
hiyohiyo tv aina ya Lagency, kwa kutumia dish mwelekeo wa STAR TIME na Zuku nina pata channel nyingi sana zote za nje kwa muelekeo wa France Satellite
Upo mkoa gani mkuu?
 
Mimi yangu natumia dish. Nimeunga direct waya toka nje hadi kwenye tundu la LNb. Napata local channel.

Antena unaweza nunua startimes au dukani tu. Zile miba ya samaki.kwauelekeo upi?
NA DISH LA FUT 3 AU 6
Mimi yangu natumia dish. Nimeunga direct waya toka nje hadi kwenye tundu la LNb. Napata local channel.

Antena unaweza nunua startimes au dukani tu. Zile miba ya samaki.
Naomba namba yako ya simu mkuu nikuulize kitu
 
Back
Top Bottom