Shamba liko Chalinze wanatafuta Mtaalamu wa Kilimo bila udongo (hydroponics farming). Awe amesomea fani hiyo (walau hadi Diploma) na uzoefu kazni si chini ya mwaka mmoja.
Uzoefu drip irrigation au greenhouses ni kianzio kizuri mradi awe tayari kujifunza teknolojia mpya NGS na kujiendeleza...
Yaani kesi imefutwa sababu ya akidiiii au ni kwa kukosa mshiko? Is he or is he not Meya alivyokuwa akiapiza kwa kufuru jana? Nyendo,
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna kitu kimoja kinawaunganisha Zitto, January, Fatmakarume, na Ng'wigulu. Ni vijana chapchap, damu inachemka, wanaamini kabisa kuwa Tanzania tuko nyumba shauri ya mazee kungangania (sic!) uongozi. Zitto na January wako on record kuwa Tanzania imechoshwa na wazee, lazima vijana watawale.
Kosa...
Your analysis is correct but the conclusions quite erroneous. Samahani kwa lugha hiyo sasa tupitie mifano yako. Wabunge wa upinzani hawajazuiwa kwenye majimbo YAO, wote wamejikita majimbo mengine. Nassari na Mbowe tuliambiwa hawajafika kwao. Haya mengine ni mambo ya kuambiwa, kwa nini unyimwe...
Hadisi ndeeeefu, hujasema ni nani alimpiga risasi hizo.
Hata YEYE hajasema kwa vile ilikuwa mchana lazima angemuona. Kuna dereva pia, hakuwa na maumivu, angemuona zaidi, hajamtaja. Halafu Kaka, iweje siku hiyo TL aende lunch peke yake katika wabunge 500 wa CCM na Upinzani, peke yake? Raia wa...
Kuna viwanja 20 eneo la Goba Kusauke Mtaa wa Kulangwa ni jumla ya ekari 40, si unaweza kukatakata? DSM ni mjini hakuna mashamba hata ukipata within no time yatapimwa. Karibu hiyo.
TELL YOU WHAT GUYS? WE BRING BACK THE MAUMAU AND THE MUNGIKI AND THE SHIFTA. LET ALL KENYANS BE REFUGEES, EVERYONE IS DIASPORA. THEN THE DIASPORA "REMITTANCE" WILL BE EQUAL TO THE NATIONAL GDP, HIGHER THAN ALL AGRICULTURE AND INDUSTRY COMBINED, HIGHER THAN MIDDLE LEVEL EU COUNTIES LIKE FINLAND...
CPA ni ngumu. Whether upitie ATEC, ECA, HGE au EGM ili uwe CPA utaanza upya, unarudia yale yale ya debit/credit ila ukiwa UDSM au IFM mwalimu wako ni PhD au hata CPA. Best route ni A-level, hasa EGM na PCM kwa vile unahitaji akili nzuri tu . Usomapo CPA, utakuta wahandisi na madaktari. Hii route...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.