Bwana Shamba (Hydroponics) anahitajika Chalinze

Jun 1, 2019
24
8
Shamba liko Chalinze wanatafuta Mtaalamu wa Kilimo bila udongo (hydroponics farming). Awe amesomea fani hiyo (walau hadi Diploma) na uzoefu kazni si chini ya mwaka mmoja.

Uzoefu drip irrigation au greenhouses ni kianzio kizuri mradi awe tayari kujifunza teknolojia mpya NGS na kujiendeleza.

0622303759

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom