Afanye ACCA/CPA badala ya F6~> College

Afanye ACCA/CPA badala ya F6~> College

Daah sijui kama nimechelewa kukujibu au laaa!!
Majibu sahihi haya hapa:-
Kama anataka kusomea uhasibu huko mbeleni haina haja ya kwenda Advance..
Aanze na ATEC I anafanya masomo Manne tu.
Then apige ATEC II anafanya pia masomo Manne tu.
Kama yuko vizuri kichwani, ndani ya mwaka mmoja hiyo mitihani yote ataweza kuing'oa kwa May na November sessions..
Baada ya hapo akifaulu ATEC II, atapewa cheti cha Accounting Technician ambacho ni sawa na Diploma ya uhasibu ya miaka miwili..
Kwa hiyo anaapply moja kwa moja chuo kikuu kusoma degree ya uhasibu kama vile BAF, BCOM etc...
Kumbuka aliyeenda advanced level bado yuko form six wakati wewe ndo unaenda kuanza mwaka wa kwanza chuo kikuu..

Baada ya Kumaliza Degree yako rudi tena kwenye CPA uanze na Intermediate Level masomo SITA then malizia na FINAL LEVEL masomo MANNE tu unakuwa CPA (T)..
Acha kurefusha elimu. Tunaoenda huko A LEVEL ni ambao hatujui hii short cut..

Ukihitaji maelezo zaidi nitafute:
Tel. no. 0713388317/0757749641
Mimi nimesoma hiyo BAF, ACCA, CPA, MSc Finance and Investment na Ninafundisha CPA from ATEC I TO FINAL LEVEL, NAFUNDISHA PIA ACCA, NAFUNDISHA NA CPB kwa watu wa Bank.. NIKO DODOMA. NITAFUTE PLEASE UKIHITAJI MSAADA!! USIPOTEZE MUDA WAKO KWA KUREFUSHA ELIMU YA ADVANCE...
Take my words!
Mkuu hebu nifafanulie kuhusu ACCA, ATEC, ninaenda kuchange career
 
Aende certificate halafu diploma na mwisho degree.hii ni straight line.akienda A.level necta huwa hawatabiliki wakati mwingine.ila hiyo option ya kwenda chuo ni kwamba anakuwa tayari amesha achana na necta anaingia kwenye profesion.anaweza akapata diploama akapata kazi na kuanza kusoma degree ya jioni

lakini pia note kwamba ACCA /CPA huwa siyo za kuchukua chukua kama diploma au degree.hizi ni level nyingine.inategemeana na kichwa cha mtu.anaweza zisotea mpaka akastaafu kazi akawa bado hajaweza ku faulu
 
Hii ndio aina ya ushauri niliyokuwa nauhitaji. Ahsante sana
Ila kwa kuongeza tuu, jee akimaliza ATEC II anaweza kuendelea Intermediary mpaka Professional levels ??
Yes. Ukimaliza ATEC II, unaenda Foundation Kuna masomo matano, then Intermediate stage kuna masomo 6 na Final stage Kuna masomo 4 tu. Ukifaulu hayo yote unapata CPA yako.
 
Mkuu hebu nifafanulie kuhusu ACCA, ATEC, ninaenda kuchange career

Hebu Pitia Thread hii hapa utapata majibu sahihi..

THANKS MZEE
 
UTARATIBU WA KUJIUNGA NA ACCA NA ATEC UKOJE? MAANA HATA UKIENDA KWENYE WEB ZAO HAKUNA MWELEKEO MZURI
 
Daah sijui kama nimechelewa kukujibu au laaa!!
Majibu sahihi haya hapa:-
Kama anataka kusomea uhasibu huko mbeleni haina haja ya kwenda Advance..
Aanze na ATEC I anafanya masomo Manne tu.
Then apige ATEC II anafanya pia masomo Manne tu.
Kama yuko vizuri kichwani, ndani ya mwaka mmoja hiyo mitihani yote ataweza kuing'oa kwa May na November sessions..
Baada ya hapo akifaulu ATEC II, atapewa cheti cha Accounting Technician ambacho ni sawa na Diploma ya uhasibu ya miaka miwili..
Kwa hiyo anaapply moja kwa moja chuo kikuu kusoma degree ya uhasibu kama vile BAF, BCOM etc...
Kumbuka aliyeenda advanced level bado yuko form six wakati wewe ndo unaenda kuanza mwaka wa kwanza chuo kikuu..

Baada ya Kumaliza Degree yako rudi tena kwenye CPA uanze na Intermediate Level masomo SITA then malizia na FINAL LEVEL masomo MANNE tu unakuwa CPA (T)..
Acha kurefusha elimu. Tunaoenda huko A LEVEL ni ambao hatujui hii short cut..

Ukihitaji maelezo zaidi nitafute:
Tel. no. 0713388317/0757749641
Mimi nimesoma hiyo BAF, ACCA, CPA, MSc Finance and Investment na Ninafundisha CPA from ATEC I TO FINAL LEVEL, NAFUNDISHA PIA ACCA, NAFUNDISHA NA CPB kwa watu wa Bank.. NIKO DODOMA. NITAFUTE PLEASE UKIHITAJI MSAADA!! USIPOTEZE MUDA WAKO KWA KUREFUSHA ELIMU YA ADVANCE...
Take my words!
Yes mr yusto mwenyewe nskuona
 
NAOMBA KUJUA KUHUSU ACCA! NINI NA KOZI ZINA MABO GANI? UNAJISAJILI WAPI ILI UWE CERTIFIED?
 
CPA ni nzuri sanaa kama ukapata muongozo kuanzia mwanzo...
Kama walivyozungumza waliotangulia...
Kwa aliyemaliza kidato cha nne au cha sita anaweza akaanza kufanya mitihan ya Atec 1 & 2
Ndan ya mwaka mmoja kisha baada ya hapo akaendelea na foundation stage na intermediate mwaka mmoja kisha akamalizia final stage ndani ya miez sita..
Ukiwa CPA (T) unaweza kufanya masters degree as Academic qualification...
Lakin ukiishia CPA (T) Academic qualification yako itakuwa ni f4 au f6.

Faida nnazoziona ni kwamba;
Utakuwa umetumia muda mfupi sanaa kivp
Ndan ya miaka 2½ (na haya makadirio ya miaka 2½ ni kama hujafeli somo lolote ktk hizo hatua kuanzia atec 1 to final) utakuwa na qualification za kufanya masters degree lakin alieendelea na kidato cha 5 & 6 ndyo atakuwa amemaliza kidato cha sita na miaka mitatu inamsubiri ya Degree na baada ya degree ilikuwa professional kuna level mbili (intermediate na final zamsubiri).

Changoto zipo nyingi...
Kwanza inabid anaechukua uamuz huu awe bright student... Hii mitihan inahitaj mtu anaejitambua na bright student kwahvyo itakuwa ni mitihan mirahisi kama mwanafunz atakuwa ni smart..

Ila kama ni wale wanafunz tunaohitaj kusukumwa kujisomea hii itakuwa ni njia mbaya kuliko zote ulizochagua... Kwann...?
Kwasababu hakuna mtu atakuwa anakukumbusha kujisomea tofauti na shule...

Haya ni mawazo binafsi kama nikawa sijaeleweka sehem niko tayar kuulizwa japo sipo vizur katk kuandika kwahvyo mapunguz yaliyojitokeza katika kuelezea naomba yavumilike..
 
Sound like day dreaming. Miaka 2.5 ATEC - CPA FINALIST?
 
CPA ni ngumu. Whether upitie ATEC, ECA, HGE au EGM ili uwe CPA utaanza upya, unarudia yale yale ya debit/credit ila ukiwa UDSM au IFM mwalimu wako ni PhD au hata CPA. Best route ni A-level, hasa EGM na PCM kwa vile unahitaji akili nzuri tu . Usomapo CPA, utakuta wahandisi na madaktari. Hii route ya ATEC haikukuzi kiakili kwa vile haina dozi ya maths, wengi huenda njia hiyo "kukwepa" maths ambayo haikwepeki. Combi kama HGE na ECA ni dhaifu sababu hiyo hiyo - hazina maths. Wengi wao huishia ukarani ("accounting technicians"), hawafiki CPA.
BComm nayo bado hujawa Mhasibu, unanzia Level ya 3 (out of 5) mitihani ya CPA.
Ukitaka uwe Mhasibu, uwe na akili, basi. Then ijitume.
 
Back
Top Bottom