Sasa naona kuna watu wamekosa cha kusema, acheni chuki binafsi. Dr. Shayo ni mtaalamu aliyebobea, alirejea nchini mwaka jana akapewa usenior lecturer pale Open University, sasa hivi ameondoka na kama sijakosea yupo na international organization moja.
Nadhani tatizo ni mwandishi wa hii habari...