Wana JF msaada jamani katika mauzoefu yenu mmeshakutana na hii?

hahahahaaaaaaaaaaa... huyo mcharuko aisee, ni kibwengo tu, yeye akiona ndefu nyeuoe anachachawa, lakini eti bado anakonsalt

kweli kichaa kina sura kadhaa, ila tumombeer mleta mada


Kaka umetumia maneno makali sana, anyway ni kweli huyo mdada akiona handsam white huwa anachachawa ila huyu sio handsam wala nini yaani ni wakawaida sana lakini ndio anamfeel mpaka anajishangaa
 
Bi mkubwa anapomtamani huyu kaka huwa atamanani nini haswa, pamba za mshikaji au gari lake? Kama ni biologia yake basi ananishangaza anavyoogopa kuombwa game

Alimtamani tu hajui lolote kuhs yeye hajui kama ana gari ana pesa wala hajui kama biologia inafanction au hamna kitu yaani ye amemtamani tu hata hajielewi
 
Madhara ya kuwa karibu na Asprin and the team....
Acid hakuwa hivi kabisaaa...I used to admire him!:becky:

Kwenye hizo ishu Acid ndo Don mwenyewe....infact yeye ndo alimteua Asprin kuwa mweka hazina...
 
Alimtamani tu hajui lolote kuhs yeye hajui kama ana gari ana pesa wala hajui kama biologia inafanction au hamna kitu yaani ye amemtamani tu hata hajielewi

Kwa hiyo bado hajamtamkia kuwa anamtamani ili amegwe wamalizane?
 
Alimtamani tu hajui lolote kuhs yeye hajui kama ana gari ana pesa wala hajui kama biologia inafanction au hamna kitu yaani ye amemtamani tu hata hajielewi

Mhhh!!! :confused2::confused2::typing::typing:
 
Kwa hiyo bado hajamtamkia kuwa anamtamani ili amegwe wamalizane?

Kumtamkia ngumu na hata kumuonyesha pia hawez ila inavyoonyesha akikutana nae sehemu ya faragha halafu jamaa akaomba mzigo uwezekano wa kuresist ni mdogo
 
Kumtamkia ngumu na hata kumuonyesha pia hawez ila inavyoonyesha akikutana nae sehemu ya faragha halafu jamaa akaomba mzigo uwezekano wa kuresist ni mdogo

huyo dada, kwa mtizamo wangu na uelewa wangu, kwa situation aliyonayo kwa sasa waungwana tunasema mpaka hapo ameshamegwa tayari!siku watakapokutana ni kubugia tu!
 
Kwan wasi wasi wakumegwa ndio tatizo? Kwan dada anadhan jamaa atasubiri hadi waowane. Kumegwa ni kawaida siku hizi. U can't read de future. Anaweza asikumege na mkaoana na baada ya miez kadhaa mukaachana. Tell her to get to kno de guy 1st; kama ana sifa za kuwa husband. Looks don't matter ktk ndoa.
 
Morning DC naona unaendelea kukandamiza mavituuuuuuuuuz yaani wanfurahisha kweli kweli, mdada nimezungumza nae ila kiukweli anaonyesha anampenda sana huyo kaka yaani ni ile toka moyoni kama ulivyosema DC kwamba hata wakikutana porini naona huyo dada atatoa tu na kama alivyosema wiselady kwa jinsi alivyompenda lolote litakalotokea hataregret

Go, go, go. go. go.......what's she waiting?:llama::llama::llama:

Game finished...fini..finito..ngoma imeisha hiyo ..:A S 103::A S 103::A S 103::A S 103::A S 103::A S 103::closed_2:
 
mtu kuwa cheap ndo anakuwaje, mim ningekuwa huyo dada eti namfeel mkaka na yeye kajileta anga zangu, walai mazingira yakiruhusu tunamegana 2, mambo sijui ya true love kama yapo yatatukuta mbele ya safari huko, cha muhimu kwanza ni kujali hisia zangu


Apo sasa umeongea maneno MAZITO.....
 
Mi nawajua akina dada, akishafika pale hata kama alikuwa amejiambia hatamegwa, akipewa maneno matamu na akiwekwa kona lazima atalowa na ataachia mchezo. Mimi imewahi nitokea, kuwa nilihisi mdada fulani alikuwa ananipenda, nilivyopata nafasi ya kuwa nae yeye alikuwa nasisitiza kuwa nataka long term friendship and then marriage (Mimi tayari ninacho hicho anachotafuta)

Kimsingi mimi hayo yote nilikuwa siyahitaji, sikumpa jibu la moja kwa moja, lakini believe me, alinipa mchezo the first day.

Kila siku huwa nasema, women are too emotional, they always think men do think like them. Forget, kuwa makini, jamaa atamega halafu atasepa.

Take your time, kwani kama anakupenda kiukweli atakuwa yupo radhi kusubiri na kukuchunguza, hatakurupuka, kwani anauhakika gani kama we si wale wale?

Na sisi wanaume tukipata mchezo the first day tunakuwa na mashaka na mhusika. Again muonye huyo dada awe makini.

Huwa sipendi kuwafuatilia madame sana kwani inachosha, lakini opportunity kama hiyo ikijitokeza huwa siachi kufunga goli angalau moja la chapchap, sina muda wa kuendelea kumfurahisha kwani experience inaonyesha almost zote za fanana, so I quickly I go back to my....

Mpe onyo huyo dada awe makini
 
Back
Top Bottom