Hii imekaaje? Tunaelekea wapi? Jadili

Wangewaruhusu cause huu mchezo nahisi kule arabuni ndio kama kawaida vile ile mibasha ya kiarabu kama wanajua dini inakataza mbona wanauendekeza sana. sasa inabidi wale mafi yao tu,wawaruhusu tu hao wangese
 
Yah, hyo post imekaa kiushabiki zaidi. Ths z a crazy world bana, usibatize crap ya mtu mmoja kwa dini nzima. Mimi si Al-Islamiya, lakini sipendezi na ushabiki wa kidini hapa JF, afu kwani w3w3 unaumia kitu gani ati waislam au wakristu wakifanya vile? Mbona wewe mwenyewe, regardless dini yako, uko na midhambi kibao!
 
Si ushabiki wa kidini, ni kujadili kama mada nyingine, kama vile ushoga unavyosumbua makanisa mengi ya kikristo. Tatizo ni kuwa wengi ni simple minded, hamtaki kushirikisha akili na kujadili hoja, mnakimbilia mambo ya udini.
 
wonders will never end! effects ya mambo ya haki za binadamu na uhuru wa mtu kufanya anachotaka as long as long havunji sheria! wakisakamwa utaambiwa na wenyewe wana haki sawa kama binadamu yoyote yule despite ya hiyo tabia yao!
 
Wanyama wa kufugwa na wanyama wa Mwituni wana adabu na heshima kuliko mwanadamu wa kizazi hiki kwenye swala zima la mahusiano na zinaa ya mwanadamu!!!!
 
bora useme wewe mabrouk,,,,
Yah, hyo post imekaa kiushabiki zaidi. Ths z a crazy world bana, usibatize crap ya mtu mmoja kwa dini nzima. Mimi si Al-Islamiya, lakini sipendezi na ushabiki wa kidini hapa JF, afu kwani w3w3 unaumia kitu gani ati waislam au wakristu wakifanya vile? Mbona wewe mwenyewe, regardless dini yako, uko na midhambi kibao!
 
bwana sikiliza nikwambie wewe leo hii kamchukue paka then umfundishe kukojolea chooni uone kama hatafanya,,, l-awal,,,,
lapili,, kiupande wangu nionavyo mimi hii thread imewekwa hapa kudhalilisha uislam......na hao waliondika hii habari huko bbc sijui wapi pia ni hayo hayo,,, sasa basi la umuhimu la kujadiliwa hapa hakuna kila mtu atazikwa na shimo lake...hakuna atakaezikwa na asra wala sara hapa.... kama wao wameamuwa kumuas allah ni wao cha muhimu ni kutazama amal yako wewe unayokwenda nayo kesho akhera,,,, na ukumbuke tena kwamba ikaribiapo mwisho wa dunia hakuna dini itakayo tawala wala kusikika kama islams...remind dat,,,
 
Binadamu si paka, so anatakiwa kuishi kimaadili. Mungu atulinde na uovu wa aina hii
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom