Viti maalumu (women special seats)

Edmund D

Member
Sep 26, 2010
16
1
NIMEONA WATU WANAULIZIA VITI MAALUMU KWA WANAWAKE HUGAWANYWAJE, KUTOKANA NA HILO NIMEONA NIWAPE ARTICLE ITAKAYOWASAIDIA KUJUA NANI ATAPATA VITI KIASI GANI BAADA YA MATOKEO JUMLA KUTOKA, SOMA HII ARTICLE HAPA CHINI

The allocation mechanism of special seats changed again in 2005. The special seats are now distributed proportionally on the basis of the number of votes won by each party in the parliamentary election, not on the basis of the number of parliamentary seats won by each party. Only parties that won "at least 5% of all valid votes for parliamentary election" can propose the names of specialseat candidates to the National Electoral Commission (National Electoral Commission 2006a:75). In a single-candidate constituency, "valid votes cast for presidential candidate of that party shall be used in determining that proportion" (National Electoral Commission 2006a:75). "If a political party did not nominate a presidential candidate, 51% of the total number of registered voters in that constituency shall be used to determine that proportion" (National Electoral Commission 2006a:76). The electoral commission has the ultimate authority to appoint special seats candidates to be MPs. Only three parties met the 5 percent threshold in 2005, and seventy-five special seats were proportionally divided among those three (table 2).

ASANTENI.

maselef

JF-Expert Member
Oct 31, 2010
254
44
Hapo sasa patamu. Kwa kuwa zoezi zima la uchaguzi litawaliwa na "uchakachuaji". Ukijumlisha kura walizopata wabunge unaweza kupata maajabu mengine ya karne kwa kuwa inaonnyesha hakuna umakini ktk NEC.

1. Usishangae kupata idadi kubwa kwa CHADEMA na ndogo kwa CCM ya kura ktk ngazi ya ubunge Vs za urais
2. Chadema inaweza kuwa na kura nyingi katika ngazi hii (ubunge) hivyo kupelekea kuwa na idadi kubwa zaidi ya wabunge wa kuteuliwa.

NB: Akili zote za timu ya uchakachuaji ilikuwa hasa katika kura ya urais na si ubunge au udiwani.

Nawasilisha

PayGod

JF-Expert Member
Mar 4, 2008
1,259
56
Mdau mwenye jumla ya kura ya ubunge wa kila chama, asiwekwe humu

Nsololi

JF-Expert Member
Mar 8, 2007
298
80
Jamani cni kweli tusaidieni jumla ya kura za ubunge kwa kila chama ili tuanze kuestimate jumla ya wabunge wanawake wa viti maalum.

Pia siyo mbaya mwenye data za jumla ya madiwani kwa kila chama, na ikiwezekana mgawanyo wa madiwani kwa kila halimashauri ya wilaya, manispaa, majiji na kadharika. Tunahitaji data hizi ili tuweze jua mafanikio ya wa TZ wote wapenda mageuzi.

GeniusBrain

JF-Expert Member
Nov 3, 2010
4,319
305
Nahisi wewe umeingia kuongeza kura za JK humu JF na hufatilii ni nini kinaendelea, kiswahili darasa la tano "Usimwamushe aliyelala"!!!!

Nahisi wewe umeingia kuongeza kura za JK (WEWE MWENYEWE ULIMPIGIA JK KURA, USIWADANGANYE WENZAKO HUMU) humu JF na hufatilii (WEWE NDIO HUJUI LOLOTE, PUMBA TU) ni nini kinaendelea (RAIS WAKO ANAAPISHWA ANGALIA TV WW) , kiswahili darasa la tano (WEWE MBONA ULIFELI KWENYE DARASA LA NNE ULE MTIHANI WA KITAIIFA) "Usimwamushe aliyelala (WEWE NDIO BADO UMELALA UNA NG'ANGA'ANIA MTU ASIYE NA UWEZO WA KUONGOZA SI UNAONA SASA UNALIA TANGIA JANA"!!!!

nyamate

Member
Aug 3, 2010
25
0

Hapo sasa patamu. Kwa kuwa zoezi zima la uchaguzi litawaliwa na "uchakachuaji". Ukijumlisha kura walizopata wabunge unaweza kupata maajabu mengine ya karne kwa kuwa inaonnyesha hakuna umakini ktk NEC.

1. Usishangae kupata idadi kubwa kwa CHADEMA na ndogo kwa CCM ya kura ktk ngazi ya ubunge Vs za urais

2. Chadema inaweza kuwa na kura nyingi katika ngazi hii (ubunge) hivyo kupelekea kuwa na idadi kubwa zaidi ya wabunge wa kuteuliwa.

NB: Akili zote za timu ya uchakachuaji ilikuwa hasa katika kura ya urais na si ubunge au udiwani.

Nawasilisha

CCM watapata viti maximum 60 CHADFMA maximum 40,tano zilizobaki watagawaba cuf na nccr.Ni wabunge 105 which is 40% of viti vyote vya ubunge.

Mkulima

JF-Expert Member
Feb 4, 2007
788
392

CCM watapata viti maximum 60 CHADFMA maximum 40,tano zilizobaki watagawaba cuf na nccr.Ni wabunge 105 which is 40% of viti vyote vya ubunge.

Hiyo asilimia 40 unaitoa wapi? Wanawake ni asilimia 30 ya wabunge wa kuchaguliwa, namba ambayo ni kama 72.

Bunge lote litakuwa na wabunge 326 ambao ni wa kuchaguliwa 239 + wa kuteuliwa wanawake 72 + kuteua rais 10 + baraza la wawakilishi 5. Pia kuna spika na mwanasheria mkuu ambao sijui kama namba yao inajumlishwa kwenye hiyo 326 au la.

Kwa namba hizo CCM hawawezi kuwa na viti zaidi ya 50 na CHADEMA pia hawataweza kuwa na viti zaidi ya 20.

Mungi

JF Gold Member
Sep 23, 2010
16,980
9,547
Nimemkumbuka Demu wangu sijajua kama atakuwepo mjengoni, maana mpaka sasa hatujui ni idadi gani ya wabunge viti maalum inatakiwa.
Ila atapita tu kwa sababu nilikuwa ninawasiwasi kama Mdee angeangushwa yeye ningekuwa naye mtaani.

Jaffary

JF-Expert Member
Oct 29, 2011
796
376
Wanaangalia mambo mengi, mfano kwa cdm nilishawahi kusikia vigezo vilivyotumika ni uzoefu katika chama, mchango wake katika ujenzi wa chama, elimu yake, muda ambao amekitumikia chama, uthubutu katika kushiriki katika mchuano wa ubunge and the like!

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

1 Reactions
Reply
Top Bottom