Recent content by Edma falsafa

  1. Edma falsafa

    GE2020 EXCLUSIVE: Maswali kwa Mgombea Urais wa JMT, Tundu Lissu kutoka kwa Watanzania watumiao mitandao ya kijamii

    Mh Tundu A. Lissu, Kama mgombea wa kiti cha uraisi wa JMT, umekuwa ukisikika kutoa kauli za kutisha pale kutakapokuwa uvunjwaji wa haki kwa uchaguzi kwa kusema ICC itawahusu. Sasa, itakuwaje pale utakapo kuwa umeshindwa kura? Utajuaje kuwa umeshindwa kihalali kweli, maana umekuwa...
  2. Edma falsafa

    Jinsi biashara ya uchuuzi wa samaki ilivyonipa msoto wa hasara

    sasa mimi wa mwanza to kigoma??? tena kumbuka ni visiwani
  3. Edma falsafa

    Maisha ya Udalali: Kumzunguka dalali ni sawa?

    Shida walio wengi wamekaa kumponda dalali wanasahau mada kuu ya mjadala. Swali ni je ni sawa kumzunguuka dalali??? na vipi kuna utaratibu wowote kisheria endapo ukinaunguuka dalali??? Achaneni na maswala ya kuita mara tapeli mara nini
  4. Edma falsafa

    Miaka 5 kazini mshahara haujawahi kutana

    sasa kama ulianza na 400k ikawa aitoshi,ikapanda mpaka 1,2m aitoshi tu hata ukipata 10m aitotosha. unadai hujui pesa yako inaenda wapi,unadai huwa unafanya bata mara moja moja na huwa hutumii si zaidi ya 30k. hapo shida tu ni matumizi ya pesa,maana mshaara wako upo sawa hata ukitaka...
  5. Edma falsafa

    Mashine za kusagia nafaka

    poa poa mkuu Sent using Jamii Forums mobile app
  6. Edma falsafa

    Mashine za kusagia nafaka

    alafu ningeomba pia unichambulie bei,ubora wa kila kifaa na bei zake pia Sent using Jamii Forums mobile app
  7. Edma falsafa

    Mashine za kusagia nafaka

    asante sana mkuu,huu ndio ushauri wa faida kabisa Sent using Jamii Forums mobile app
  8. Edma falsafa

    Mashine za kusagia nafaka

    naomba kujua,si rola na mota zinauzwa pembeni??? manake mi ni mgeni ila nimevutiwa kabisa kufanya hii biashara. nataka ya kusaga mahindi kwaajili ya unga. Sent using Jamii Forums mobile app
  9. Edma falsafa

    Jinsi biashara ya uchuuzi wa samaki ilivyonipa msoto wa hasara

    samaki kavu dah ni kuotea tu Sent using Jamii Forums mobile app
  10. Edma falsafa

    Mashine za kusagia nafaka

    Naomba kujua utaratibu wa mashine za kusaga mahindi kwa mwenye uzoefu. Naitaji kununua nini na nini, bei ya kila kitu kinachoitajika. Kwa mwenye uzoefu hata mwenye uelewa pia.
  11. Edma falsafa

    Tanzania tumewahi kutuhumiwa tunaficha data za Ebola

    corona inafichika mkuu,ebola ni habari nyingine hile kabisa we Sent using Jamii Forums mobile app
  12. Edma falsafa

    Ni ipi asili na chimhuko la kabila la Wazirankende?

    hilo kabila sijawahi kulisikia kigoma mbona mkuu,ni kigoma ya wapi labda Sent using Jamii Forums mobile app
  13. Edma falsafa

    Kulikoni kwa lipi waafrika tunatukanwa hivi na wachina?

    mstoa Epictetus anakuambia,fanya kile kilicho ndani ya uwezo wako na hachana na kile kilicho nje ya uwezo wako. huwezi zuia mwengine kutoa maoni kukuhusu,hivo maoni yapo nje ya uwezo wetu. kama wakisema kuwa haikutakiwa sisi kuitwa binadamu inatakiwa tuwajibu kuwa wanatuita wao binadamu ila si...
  14. Edma falsafa

    GE2020 Eti ‘tunataka Tume huru’ wakati chaguzi za vyama vyenu hazina huo uhuru, wanafiki wakubwa!

    yaani jamaa anaona ni vema kuondoa kero kwa kutumia kero. wakati huo ni ujinga Sent using Jamii Forums mobile app
  15. Edma falsafa

    Kipi kikomo cha kusalimia shikamoo?

    Kiswahili ni lugha zawa la kiarabu na kibantu,sawa Ila nihoji upande wa shikamoo huko uarabuni wao huitumia hiyo salamu??? Na huitumia hivohivo tunavyoitumiaga sisi??? Kama Kuna wa kunijibu tuendeleze mjadala
Back
Top Bottom