Huyu nae ni ----- sana,...amekaa miaka nane hajafanya mahojiano maalum kuhusu richmond,leo ndio afanye?lowassa anautajiri mkubwa akimlinganisha na nani?kwa akili zake finyu,utajiri ndio kigezo cha kutompa mtu uongozi?kama lowassa alihusika na richmond na ushahidi anao kwanini hasiende...
Ni kweli,hata baa nyingi,wanasubiria habari za lowassa,zikiisha channel inabadilishwa.na watu wanataka habari za lowassa na ukawa tu.zikiisha wanasepa.
kama ni mwizi,mahakama ipo kwanini msimshtaki?kama ni fisadi sheria za nchi zipo kwanini hazifanyi kazi?..............watanzania sasa wameshajua ukweli.....mafisadi ni nyinyi maccm.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.