Watanzania wenzangu tumombee rais wetu kutokana na changamoto zilizombele zake

Kingdom Finder

JF-Expert Member
Jan 25, 2012
1,119
1,388
Ninawaomba watanzania tumwombee Rais wet mheshimiwa Magufuli kutokana na changamoto zilizo mbele yake. Ninajua Magufuli ana moyo wa dhati kuwatumikia watanzania lakini yafuatayo ni changamoto kubwa kwake.

'1. Chama chake. Chama chake ni mzigo na yeye si mwenyekiti. Lolote akaloamua chama kinaweza kukataa na hawezi kufanya chochote. Kwa jinsi hii mabadiliko ya Magufuli ni ndoto, Hayo yatamshosha Magufuli upesi sana.

2. UKAWA. Kwa hali halisi Ukawa wana wanachama wengi sana na mpaka kesho wanaamini Lowassa ndiye rais Hii ni changamoto kufanya na watu wasiokukubali. Itabidi utumie nguvu kubwa sana kuwatawala.

3. Uchaguzi wa Zanzibar. Ninafikiri mambo ya Zanzibar yanamuumiza kichwa kama yanavyotuumiza na sisi

4. Kutekeleza ahadi zako ambazo kwa uhalisia wa chama chako hazitekelezi.

Kutokana na haya mambo ninaona utawala wa Magufuli ukiwa mgumu kwa wakati huu wa mwanzo ndiyo maana watu wanaotakia nchi yetu mema inabidi tumombee hili Mungu ampe hekima katika kukabiliana nayo.
 
2. Ukawa. Kwa hali halisi Ukawa wana wanachama wengi sana na mpaka kesho wanaamini Lowasa ndiye rais Hii ni changamoto kufanya na watu wasiokukubali. Itabidi utumie nguvu kubwa sana kuwatawala.
3. Uchaguzi wa Zazibar. Ninafikiri mambo ya Zanzibar yanamuumiza kichwa kama yanavyotuumiza na sisi
4. Kutekeleza ahadi zako ambazo kwa uhalisia wa chama chako hazitekelezi.

Kutokana na haya mambo ninaona utawala wa Magufuli ukiwa mgumu kwa wakati huu wa mwanzo ndiyo maana watu wanaotakia nchi yetu mema inabidi tumombee hili Mungu ampe hekima katika kukabiliana nayo.

Tumuombee kwani tulimlazimisha kugombea na tume kumsaidia kuiba kura za lowassa na yeye kutangazwa mshindi? aubebe msalaba wake yeye mwenyewe na sisi tunabeba misalaba yetu wenyewe.
 
Matatizo yetu ni ya kujitakia. Hakuna haja ya kumsumbua Mungu kwa maombi.
 
Kwani urais tulimuombea sie au aliomba mwenyewe? Apambane kivyake sie tunasubiri milioni 50 kila kijiji.
 
Ninawaomba watanzania tumwombee Rais wet mheshimiwa Magufuli kutokana na changamoto zilizo mbele yake. Ninajua Magufuli ana moyo wa dhati kuwatumikia watanzania lakini yafuatayo ni changamoto kubwa kwake.

'1. Chama chake. Chama chake ni mzigo na yeye si mwenyekiti. Lolote akaloamua chama kinaweza kukataa na hawezi kufanya chochote. Kwa jinsi hii mabadiliko ya Magufuli ni ndoto, Hayo yatamshosha Magufuli upesi sana.

2. UKAWA. Kwa hali halisi Ukawa wana wanachama wengi sana na mpaka kesho wanaamini Lowassa ndiye rais Hii ni changamoto kufanya na watu wasiokukubali. Itabidi utumie nguvu kubwa sana kuwatawala.

3. Uchaguzi wa Zanzibar. Ninafikiri mambo ya Zanzibar yanamuumiza kichwa kama yanavyotuumiza na sisi

4. Kutekeleza ahadi zako ambazo kwa uhalisia wa chama chako hazitekelezi.

Kutokana na haya mambo ninaona utawala wa Magufuli ukiwa mgumu kwa wakati huu wa mwanzo ndiyo maana watu wanaotakia nchi yetu mema inabidi tumombee hili Mungu ampe hekima katika kukabiliana nayo.

Mungu wetu hapokei maombi ya kumbariki mtu alipata vyeo kwa njia za kishetani
 
Watajuana wao huo ukoo wa mafisi .... Hayatuhusu sisi

Mhh siasa mbaya sana, yani hata mambo ya msingi unaleta siasa, Sasa nchi ikiwa na maendeleo na wananchi wakitimiziwa haja zao si ni kwa faida ya wote iwe ni Ukawa au CCM, Na nchi ikizidi kuharibika si nia hasara kwa watanzania wote, acha kuwaza tamaa za kuongoza nchi kila wakati, UTAIFA KWANZA , VYAMA BAADAE.
 
Kwani hakuyajuwa hayo?.Mbona mambo ya ccm kila mtu anayaona.Mtandao haukujui unategemea kweli ulete mabadiliko halafu mabadiliko yenyewe yawe ya kutishia uhai wa mtandao watakukubalia?.
 
ninawaomba watanzania tumwombee rais wet mheshimiwa magufuli kutokana na changamoto zilizo mbele yake. Ninajua magufuli ana moyo wa dhati kuwatumikia watanzania lakini yafuatayo ni changamoto kubwa kwake.

'1. Chama chake. Chama chake ni mzigo na yeye si mwenyekiti. Lolote akaloamua chama kinaweza kukataa na hawezi kufanya chochote. Kwa jinsi hii mabadiliko ya magufuli ni ndoto, hayo yatamshosha magufuli upesi sana.

2. Ukawa. Kwa hali halisi ukawa wana wanachama wengi sana na mpaka kesho wanaamini lowassa ndiye rais hii ni changamoto kufanya na watu wasiokukubali. Itabidi utumie nguvu kubwa sana kuwatawala.

3. Uchaguzi wa zanzibar. Ninafikiri mambo ya zanzibar yanamuumiza kichwa kama yanavyotuumiza na sisi

4. Kutekeleza ahadi zako ambazo kwa uhalisia wa chama chako hazitekelezi.

Kutokana na haya mambo ninaona utawala wa magufuli ukiwa mgumu kwa wakati huu wa mwanzo ndiyo maana watu wanaotakia nchi yetu mema inabidi tumombee hili mungu ampe hekima katika kukabiliana nayo.
tunamuombea mtu ambae alishinda kihalali,si kwa kuiba kura.
 
Tumuombee kwani tulimlazimisha kugombea na tume kumsaidia kuiba kura za lowassa na yeye kutangazwa mshindi? aubebe msalaba wake yeye mwenyewe na sisi tunabeba misalaba yetu wenyewe.
kwa kweli umenifurahisha.
 
Tumuombee kwani tulimlazimisha kugombea na tume kumsaidia kuiba kura za lowassa na yeye kutangazwa mshindi? aubebe msalaba wake yeye mwenyewe na sisi tunabeba misalaba yetu wenyewe.

Ni hapo sasa!!! Kila mtu atauchukua mzigo wake mwenyewe. Akomae kujiombea mwenyewe. Aliyeibiwa ndiye astahiliye kuombewa.
 
Tumuombee kwani tulimlazimisha kugombea na tume kumsaidia kuiba kura za lowassa na yeye kutangazwa mshindi? aubebe msalaba wake yeye mwenyewe na sisi tunabeba misalaba yetu wenyewe.
wewe vipi,..unafikiri ni rahisi kumuibia mwizi? akili ya mbowe changanya na yako.
 
Back
Top Bottom