Chiku Abwao akiwachana Peter Msigwa na Edward Lowassa

Chiku Abwao akiwachana Peter Msigwa na Edward Lowassa

TataMadiba

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2014
Posts
9,870
Reaction score
5,755
Anawaambia wana iringa kuwa Msigwa amehongwa na kuacha kusimamia alichokuwa anakiamini kuhusu LOWASSA na kuwataka wamhoji mbona alisema wanaomshabikia LOWASSA wakapimwe akili na mbona leo anamkubatia , kunanini nyuma yake?
[video=youtube_share;PF4fRXt9AY0]http://youtu.be/PF4fRXt9AY0[/video]
 
I would expect mngempigia chapuo mgombea wenu wa CCM au kwenu hata akipita chiku kuwa mbunge hakuna tatizo?? Adui wenu ni Chadema siyo?
 
Acha kushabikia ujinga,ccm kila kukicha inatuongezea mzigo lipia umeme uone unakatwa pesa kwaajili ya kuchangia ewura na rea,iweje mteja achangie maendeleo ya kampuni,ninani alie turoga??pengine hii pesa niyao ccm
 
Anawaambia wana iringa kuwa Msigwa amehongwa na kuacha kusimamia alichokuwa anakiamini kuhusu LOWASSA na kuwataka wamhoji mbona alisema wanaomshabikia LOWASSA wakapimwe akili na mbona leo anamkubatia , kunanini nyuma yake?
[video=youtube_share;PF4fRXt9AY0]http://youtu.be/PF4fRXt9AY0[/video]

Tata Madiba hivi mbona huwa unakurupuka sana dada yangu leo hii Chiku abwao amekuwa mzuri kwako kwa kuwa hayupo Cdm?.acheni kujidharirisha kwa buku 7
 
attachment.php
 
Badala ya kuongea atawafanyia nini wapiga kura kazi amebaki kutukana watu tu bila ya kuwa na ushahidi.
 
atakaye mchagua lowasa na akapimwe akili... maneno hayo ya mchungaji msigwa.... wachungaji wa kondoo wa bwana huwa hawadanganyi... tuyafate maneno yao maana ni maono tosha...
 
Mama huyo ameathilika na mikorogo, mbaya zaidi anatinga jukwaanii sametime akiwa ganja kwahiyo muwe mnampima maneno na muonekano wake akiwa jukwaani.
 
Tata Madiba hivi mbona huwa unakurupuka sana dada yangu leo hii Chiku abwao amekuwa mzuri kwako kwa kuwa hayupo Cdm?.acheni kujidharirisha kwa buku 7

huyo amehama vyama vinne 4 mpaka sasa kwa hiyo akikosa ubunge atahamia chama cha 5 na hii tabia wanayo watu fulani
 
Watu wakiamua kutaka mabadiliko,yatafanyika tu.hao wananchi wanatoka makundi kwa makundi kwenye mikutano ya lowasa mnadhani nh machizi?ni kwamba wamechoka na ahadi zg kisanii.
 
Anawaambia wana iringa kuwa Msigwa amehongwa na kuacha kusimamia alichokuwa anakiamini kuhusu LOWASSA na kuwataka wamhoji mbona alisema wanaomshabikia LOWASSA wakapimwe akili na mbona leo anamkubatia , kunanini nyuma yake?
[video=youtube_share;PF4fRXt9AY0]http://youtu.be/PF4fRXt9AY0[/video]

huyo mama ubunge ataudikua au kuuangalia kupitia TV au radio maisha yake yote.acha afanye anachofanya.sisi tumeshaamua ni msigwa na lowasa tu zito wake hata ubunge hawezi pata tena.chezea ukawa wewe.
 
Back
Top Bottom