Recent content by echo2017

  1. E

    JamiiForums Tanzania Walikuwa wapi kumtaja Bashite badala ya Makonda

    Na je katika hiyo vita ni nani muuzaji aliyekamatwa akafikishwa mbele ya haki na akatiwa hatiani
  2. E

    JamiiForums Tanzania Walikuwa wapi kumtaja Bashite badala ya Makonda

    Umekosea alianza kuvuma pale alipoanza kupiga wazee
  3. E

    JamiiForums Tanzania Hii ndio Tanzania ya Magufuli, Unashangaa nini?

    Haya ndo matatizo ya kuwa na uwezo mdogo wa kufikiri kama walivyo watanzania wengi,yaan wewe umekurupuka tu hujaelewa alichowaza huyu ya jamaa au alichotaka kufikisha kwetu. Umekurupuka unaanza kutema maganda. Kweli watanzania tunasafari ndefu sana,mungu tusaidie.
  4. E

    JamiiForums Tanzania Je, ni nini tofauti kati ya SMG na AK-47?

    Smg ni sub machine guns sio machine gun ni kama bastola iliyoboreshwa kidogo lakini ak47 ni machine gun au assault rifle inaenda mbali zaidi ya smg na mfumo wake ni bora zaidi.
  5. E

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kumroga aliye Senegal, amenitapeli TZS 5 Millioni

    Wewe halali yako kabisa kupigwa,hela tayari anayo iko kny accnt unadanganywa kui activate. Au ndo ulifuate ule msemo wa toa hela upate hela. Ila hapo sio mbaya hutapigwa tena kaka
  6. E

    JamiiForums Tanzania Meditation ngumu kuliko zote ni ile ya kifo

  7. E

    JamiiForums Tanzania Wanawake wenzangu, mnawezaje kukabiliana siku ya 1 ukikutana na mwanaume mwenye maumbile makubwa?

    Kila kitu kina mahali pake pa kufit miguu ya watto kwake ni kwenye mizigo mikubwa misambwanda ndo inafika wenye miguu ya wtto tunajijua wapi panatufaa sio kwenda kutesa watto wa watu kuwatindua vizazi
  8. E

    JamiiForums Tanzania Kama haya ya walinzi wa Makonda kwa Nape ni kweli basi ni aibu kwa Rais wetu

    Uongo inabidi uprove kwa fact tueleze hao ni kina nani with proof sio unaleta ushilawadu hapa.
  9. E

    JamiiForums Tanzania Morogoro: Msanii Emmanuel Elibariki 'Nay wa Mitego', akamatwa na Polisi

    Woga wa kuongea na ww pia ni muoga kama waoga wengine,acha wanaoweza kuongea waongee tutajazwa jela zote.
Back
Top Bottom