Paul Makonda ni moja kati ya vijana wachache walijipatia umaarufu na umahiri wa utendaji kazi katika miaka hii machache.
Alianza kuvuma sana pale alipokuwa mkuu wa wilaya ya Kinondoni na baadae kuwa mkuu wa mkoa wa Dar es salam ambapo alikuja na kampeni nyingi kama za uchangishaji madawati.
Jina lake la Paul Makonda liliendelea kushika chati katika vyombo habari na muda wote hakuna mtu aliejitokeza na kupinga huyo siyo Makonda.
Harakati zake zilizima ghafla majina ya wengi na hata mawaziri wakawa hawajulikani kama wapo.
Ghafla jina la Makonda lilibadilika hasa pale alipojiingiza katika kile kiitwacho vita vya dawa za kulevya. Mengi yalibuka na kuacha maswali ambayo hayajapatiwa majibu.
Maswali ya kujiuliza ni je;
1) Walikuwa wapi kumtaja makonda kwa jina la Bashite hadi pale yeye alipoibua sakata la madawa ?
2) Kama Makonda asinge wataja watu fulani kwa ishu fulani,je na wao wangemtja kwa jina la Bashite.
3) Je, wanataka kuwaaminisha watanzania kuwa watu wengi marufu katika nchi hii ni waficha siri ?
4) Ni uzalendo wa aina gani unaofanywa na baadhi ya watu baada ya matukio fulani?
5) Ilikuwa ni dhambi kumtaja Bashite kabla ya sakata la dawa za kulevya ?
Inashangaza na kusikitisha kuona "taifa la Tanzania likiwa na utendaji wa kificho na kisiri siri'
Watanzania wanahitaji kuyajua mengi ila kama mtafichua baadhi ya mambo baada ya matukio,hamtaaminika.
[HASHTAG]#nasubiri[/HASHTAG] mropoke .
FACTPaul Makonda ni moja kati ya vijana wachache walijipatia umaarufu na umahiri wa utendaji kazi katika miaka hii machache.

Swali hilo unapouliza unawahusisha Wakuu waliompa kazi, kuwa walikuwa wapi hadi KUDANGANYWA??Mm pia nilikuwa najiuliza sana walikuwa wapi sku zote hizo, itakuwa wanayajua mengi lkn hawatak kutuambia??
kwani huyo gwajima katajwa bure...wewe unaona gwajima ni kiongozi kweli wa kiroho? subiri tu utakuja sikia..Makonda ni kiongozi mzuri,angalau ana uthubutu jambo amabalo viongozi wengi hawana. Ila alikosea sana kumtaja kiongozi wa dini bila kuwa na uthibitisho,hapo viongozi wengi wa dini wataungana ili kujisafisha.
Kama angemuomba radhi Gwajima yote haya yasingetokea. Ndio maana hata alipotajwa Mbowe wala hakuna aliyefuatilia maana waliona huyu jamaa anajitungia.Japo kwa Mbowe angeweza kusema kwa vile alikuwa mmiliki wa klabu ya usiku basi angeweza kusaidia,kwani waliotajwa ama ni watumiaji,wauzaji,wasambazaji au wanazo taarifa za kusaidia.
Kosa la Makonda ni kutaka kupambana na Gwajima badala ya kumuomba radhi yakaisha.
Kwani hao walompa kaz ndo walosema km amefoji?? Hao walosema ndo walikua na haki ya kuongea before this km kweli walikua wanajua, y after this, y??Swali hilo unapouliza unawahusisha Wakuu waliompa kazi, kuwa walikuwa wapi hadi KUDANGANYWA??
"Watch it"
Godoro la bashite hilohuyu nae sijui ni dada yake na bashite
Vijana wa Lumumba mnapata tabu kichz kumsafisha bashiteAcha waropoke nyumbu hao , jina Makonda ni maarufu hakuna wa kumnyanganya hayo , mchapa kazi
Wewe mwenyewe umeropoka sasa unasubiri nani aropoke kama wewe!! Kama hujui kitu kaa kimya, Daudi Paulo Albert Makonda Bashite hajaanza kutajwa juzi kwenye issue ya vyeti labda kama wewe ni mgeni kwenye mitandao ya kijamii. Tangu akiwa muccobs kuna Uzi unaoongelea umo humu ulioongelea Sup, disco na elimu ya kuungaunga. Akiwa UV ccm upo, alipompiga Warioba upo na umeongelea vizuri danadana za elimu yake. Sasa wewe unaposema watu wameanza kusema baada ya issue ya madawa ya kulevya, sijui unataka kupotosha kwa faida ya nani?Paul Makonda ni moja kati ya vijana wachache walijipatia umaarufu na umahiri wa utendaji kazi katika miaka hii machache.
alianza kuvuma sana pale alipokuwa mkuu wa wilaya ya kinondoni ma baadae kuwa mkuu wa mkoa wa Dar es salam ambapo alikuja na kampeni nyingi kama za uchangishaji madawati.
jina lake la PAUL MAKONDA liliendelea kushika chati katika vyombo habari na muda wote hakuna mtu aliejitokeza na kupinga huyo siyo makonda.
harakati zake zilizima ghafla majina ya wengi na hata mawaziri wakawa hawajulikani kama wapo.
ghafla jina la MAKONDA lilibadilika hasa pale alipojiingiza katika kile kiitwacho VITA VYA DAWA ZA KULEVYA.
mengi yalibuka na kuacha maswali ambayo hayajapatiwa majibu.
maswali ya kujiuliza ni je;
1)WALIKUWA WAPI KUMTAJA MAKONDA KWA JINA LA BASHITE HADI PALE YEYE ALIPOBUA SAKATA LA MADAWA ?
2)KAMA MAKONDA ASINGE WATAJA WATU FULANI KWA ISHU FULANI,JE NA WAO WANGEMTJA KWA JINA LA BASHITE.
3)JE WANATAKA KUWAAMINISHA WATANZANIA KUWA WATU WENGI MARUFU KATIKA NCHI HII NI WAFICHA SIRI ?
4)NI UZALENDO WA AINA GANI UNAOFANYWA NA BAADHI YA WATU BAADA YA MATUKIO FULANI ?
5)ILIKUWA N DHAMBI KUMTAJA BASHITE KABLA YA SAKATA LA DAWA ZA KULEVYA ?
Inashangaza na kusikitisha kuona "TAIFA LA TANZANIA LIKIWA NA UTENDAJI WA KIFICHO NA KISIRI SIRI'
Watanzania wanahitaji kuyajua mengi ila kama mtafichua baadhi ya mambo baada ya matukio,HAMTAAMINIKA.
[HASHTAG]#NASUBIRI[/HASHTAG] MROPOKE .
Binafsi namuona Gwajima kama mtu yeyote mjanja tu wa mjini, ila kumbuka kuwa anao watu wengi anawaongoza kama kiongozi wa dini pia wapo viongozi wengine wa dini wasingependa kashfa yoyote imguse kiongozi wa dini hadi iwe na uthibitisho,vinginevyo watasimama naye hadi mwisho kumtetea.kwani huyo gwajima katajwa bure...wewe unaona gwajima ni kiongozi kweli wa kiroho? subiri tu utakuja sikia..
Amethubutu mbona mm sioni alichokifanya project zote kafeli,shisha kafeli madawa kafeli dar mpya kafeli usafi kafeliMakonda ni kiongozi mzuri,angalau ana uthubutu jambo amabalo viongozi wengi hawana. Ila alikosea sana kumtaja kiongozi wa dini bila kuwa na uthibitisho,hapo viongozi wengi wa dini wataungana ili kujisafisha.
Kama angemuomba radhi Gwajima yote haya yasingetokea. Ndio maana hata alipotajwa Mbowe wala hakuna aliyefuatilia maana waliona huyu jamaa anajitungia.Japo kwa Mbowe angeweza kusema kwa vile alikuwa mmiliki wa klabu ya usiku basi angeweza kusaidia,kwani waliotajwa ama ni watumiaji,wauzaji,wasambazaji au wanazo taarifa za kusaidia.
Kosa la Makonda ni kutaka kupambana na Gwajima badala ya kumuomba radhi yakaisha.
Sawa Gwajima sio kiongozi wa kiroho, lakini mmemtuhumu kwa biashara ya madawa ya kulevya, je mmemkuta na vidhibiti? je mnaweza kujiteteaje kama akiwafungulieni mashtaka kuwa lengo lenu lilikuwa ovu na hila kwa kutaka kumvunjia heshima kwa waumini wake na jamii yote kwa ujumla?. kwa hili Makonda na wapambe wake kama wewe mnatumia vyeo/ madaraka yenu vibaya kwa kuwa mna uwezo wa kumwamuru Sirro kamata; na anakamata kweli bila kuhoji kama order ni halali ama laa.kwani huyo gwajima katajwa bure...wewe unaona gwajima ni kiongozi kweli wa kiroho? subiri tu utakuja sikia..