Recent content by eburtm

  1. eburtm

    JamiiForums Tanzania Kontena La 40ft Linauzwa Ununio

    Picha inaweza patikana Sent using Jamii Forums mobile app
  2. eburtm

    JamiiForums Tanzania Ajali Arusha: Trafiki Saba, wanasurika kifo, gari la Polisi lagongwa

    Wafuate maadili ya kazi kwa sasa ni wasumbufu na pia kujifanya wapi juu ya Sheria lasagna hiyo inaambatana nao
  3. eburtm

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jinsi ya ku-highlight sentensi au maneno kwa rangi humu JamiiForums

    [/yellow]
  4. eburtm

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jinsi ya ku-highlight sentensi au maneno kwa rangi humu JamiiForums

    Ok [color]
  5. eburtm

    JamiiForums Tanzania Simu za kupangusa zawaponza wanajeshi wa Israel -IDF

    Mkuu hiyo niliipata katika training moja hivi nilikuwa na Jamaa yangu kutoka huko as official. Anyway that's how it is
  6. eburtm

    JamiiForums Tanzania Simu za kupangusa zawaponza wanajeshi wa Israel -IDF

    Mkuu hili usemalo nawezakubaliana nalo kwa kuwa nimeshawahi kusikia kuhusu mradi wa mabasi huko Cameroon pia kulikuwa nakifaa cha kurekodi ( it works as black box ) ila kila lililokuwa likiongewa na wananchi loliweza kufika kwa vyombo vya usalama na kuchujwaa mbaya zaidi taarifa hizo zilivuka...
  7. eburtm

    JamiiForums Tanzania Basi la kampuni ya Dar Lux lapata ajali

    Nashukuru kwa maelezo hayo nakumbuka nilishafanya hivyo pale kabuku nilisimama like 700m toka aloposimama traffic nikamueleza same to your words above hakuwa na lakusema
  8. eburtm

    JamiiForums Tanzania Basi la kampuni ya Dar Lux lapata ajali

    Kwanini tusiwe na Sheria ambayo itawabana wananchi wanaoacha kutumia kivuko cha (zebra) kwamba wanahatarisha maisha yao kwa kuvukia maeneo yasiyotengwa kwa ajili hiyo mfano kuna daraja la kuvukia ubungo, manzese na buguruni, sote mashahidi kwa jinsi inavyopelekea usumbufu kwa madereva. Ni wazo...
  9. eburtm

    JamiiForums Tanzania Basi la kampuni ya Dar Lux lapata ajali

    Pole kwa wasafiri wote kwa mashituko wa hiyo ajali, ki ukweli naungana na baadhi ya wasemaji wengine kuwa kuna baadhi ya polisi wa usalama husimamisha magari kwa lengo zuri la kuhakikisha usalama tatizo huwa hawatathimini je hapo wanapoyasimamisha pana nafasi ya kutosha kuruhusu magari mengine...
  10. eburtm

    JamiiForums Tanzania Ticha gani wa twisheni ulikuwa unamkubali sana

    Kuna Mr. Lukinga na Magembe hawa nao walikuwa njema phy na chemistry and bios
  11. eburtm

    JamiiForums Tanzania Jipatie clean Phone kwa bei Rahisi..

    Hello unapatikana wapi
  12. eburtm

    JamiiForums Tanzania Dr. Kigwangala: Sikusoma High School na Ndg. Juma Mwaka, tuhuma zinazosambazwa mitandaoni ni uzushi

    Hongera Dr. Kwa msimamo thabiti wa kutetea wananchi.. Kuna story nyingi tu kuhusu ubanaishaji wa So called Dr. Year.... Naendelea na nitaendelea kuunga mkono kazi yako tukufu.
  13. eburtm

    JamiiForums Tanzania Ripoti ya CAG inaonesha kuwa, Halmashauri 3 za CHADEMA zimepata Hati chafu

    That's a challenge with accountability
  14. eburtm

    JamiiForums Tanzania Serikali yasitisha Ujenzi wa Bandari ya Bagamoyo. Kuimarisha Bandari za Mtwara, Dar

    After all kuziboresha hizo bandari za tanga mtwara itasaidia hata kutupunguzia Magari ya mzigo hapa mjini same to foleni.. Vivaa Dr Pombe
  15. eburtm

    JamiiForums Tanzania Ticha gani wa twisheni ulikuwa unamkubali sana

    Mie namkubali mrisho, magembe
Back
Top Bottom