Basi la kampuni ya Dar Lux lapata ajali

Basi la kampuni ya Dar Lux lapata ajali

Madhara ya kusimamisha gari gjafla hayo.. Kuna Trafic yuko Morogor kwa Makunganya huwa anatokea kwenye katani kama kizuka ghafla anasimamisha basi zikiongozana..
Huwa anatisha sana watu huyu
 
hata ukisamamishwa na polisi angalia kwenye driving mirror yako gari inayokufuata je ipo the same speed na je ni salama si kwa sababu umesimamishwa lazima usimame .. wakikumata mbele unawaambia haikuwa salama pale .. usalama kwanza tuache woga

Nashukuru kwa maelezo hayo nakumbuka nilishafanya hivyo pale kabuku nilisimama like 700m toka aloposimama traffic nikamueleza same to your words above hakuwa na lakusema
 
Nashukuru kwa maelezo hayo nakumbuka nilishafanya hivyo pale kabuku nilisimama like 700m toka aloposimama traffic nikamueleza same to your words above hakuwa na lakusema
wanaelewa kabisa
 
sasa hilo bus lina rangi ngapi nyuma tofauti kabisa na mbele
 
Chanzo cha ajali ndicho kimenivutia ktk habari husika. Polisi wa usalama kasimamisha gari dogo then mwenye basi kaligonga kwa nyuma. Trafiki wanatabia ya kusimamisha magari sehemu ambazo sio salama na hamna parking...
Kwa yeyote mwenye mazoea ya kupanda magari ama kuendesha....anapata picha halisi jinsi ajali ilivyo sababishwa na TRAFIKI....

SASA SIJUI KATIKA AJALI HII KAMA HAKI YA KILA MMOJA ITAPATIKANA...!!
 
Back
Top Bottom