Wafike salamaPolen xan aise half kuna jamaa yangu yupo humo bt nashukuru mungu yuko salama na anaendelea na safar yak salama
Dar Lux imeigonga basi nyingine inaitwa polepole na si gari ndogo
Ok.Dar lux ndo branch ya kilimanjaro bus.Jamaa yuko makini sana ktk sekta hii ya usafirishaji.Dar lux is the best hadi mwanza zinafika.Poleni sana kwa ajali
Kama wewe ni dereva itabidi unyang'anywe leseni kwani hujui sheria za barabarani. Ukigonga gari nyuma kosa ni la mgongaji hata kama trafiki ndiye kasimamisha gari ya mbele. Je, kama jamaa alisimama ghafla ili asigonge mtu au ngombe bado ungesema ni kosa lake? NI lazima mtu wa nyuma kuwa umbali ambao ataweza kusimama in case wa mbele atasimama ghafla. Lakini mabasi ya mikoani utaona yanafuatana utafikiri yanasukumana. Huo ni ujinga.Chanzo cha ajali ndicho kimenivutia ktk habari husika. Polisi wa usalama kasimamisha gari dogo then mwenye basi kaligonga kwa nyuma. Trafiki wanatabia ya kusimamisha magari sehemu ambazo sio salama na hamna parking...
Si kweli mkuuOk.Dar lux ndo branch ya kilimanjaro bus.Jamaa yuko makini sana ktk sekta hii ya usafirishaji.Dar lux is the best hadi mwanza zinafika.
wengi hatufuati hii ya kuacha nafasi ya gari moja mwendo wa bampa to bampa ..Kama wewe ni dereva itabidi unyang'anywe leseni kwani hujui sheria za barabarani. Ukigonga gari nyuma kosa ni la mgongaji hata kama trafiki ndiye kasimamisha gari ya mbele. Je, kama jamaa alisimama ghafla ili asigonge mtu au ngombe bado ungesema ni kosa lake? NI lazima mtu wa nyuma kuwa umbali ambao ataweza kusimama in case wa mbele atasimama ghafla. Lakini mabasi ya mikoani utaona yanafuatana utafikiri yanasukumana. Huo ni ujinga.
Ni pressure au?mbona nasikia kazimia!Hiyo kazi ya BIMA wala boss hana wasiwasi wowote.
dist yagari NA garii awena adabuBasi hilo linalofanya safar zake Dar-Mbeya limepata ajali maeneo ya chalinze kwa kugonga gari ndogo kwa nyuma ambapo gari ndogo haipo pichani ilisimamishwa na trafiki ndipo basi likamgonga kwa nyuma abiria baadhi wamepata michubuko na hakuna aliyepoteza maisha abiria wanasuburi basi lingine ili waweze endelea na safari![]()
![]()
![]()
Hoja yako haifuti uzembe wa trafiki wanaosimamisha magari mahali pabaya au wanaojificha kisha kusimamisha magari ghafla.Kama wewe ni dereva itabidi unyang'anywe leseni kwani hujui sheria za barabarani. Ukigonga gari nyuma kosa ni la mgongaji hata kama trafiki ndiye kasimamisha gari ya mbele. Je, kama jamaa alisimama ghafla ili asigonge mtu au ngombe bado ungesema ni kosa lake? NI lazima mtu wa nyuma kuwa umbali ambao ataweza kusimama in case wa mbele atasimama ghafla. Lakini mabasi ya mikoani utaona yanafuatana utafikiri yanasukumana. Huo ni ujinga.
Kabla ya kutokusimama zingatia hayaSaizi mi wakinisimamisha sehemu za hovyohovyo sisimami
Hii habari ni fupi lakini imeeleza vizuri chanzo cha ajali tena umetuwekea na picha, asante sana mkuu johnlowasa.Basi hilo linalofanya safar zake Dar-Mbeya limepata ajali maeneo ya chalinze kwa kugonga gari ndogo kwa nyuma ambapo gari ndogo haipo pichani ilisimamishwa na trafiki ndipo basi likamgonga kwa nyuma abiria baadhi wamepata michubuko na hakuna aliyepoteza maisha abiria wanasuburi basi lingine ili waweze endelea na safari