Katika mbinu mpya za udukuzi. Hamas wamefanikiwa kudukua wanajeshi wengi wa jeshi la Israel.
Taarifa zinasema kuwa Hamas wamekuwa wakitumia Application moja kuwatafuta wanajeshi wa Israel mitandaoni WAKIJIFANYA ni WANAWAKE warembo wanatafuta URAFIKI.
Wanawake BANDIA hao kupitia mtandao huanza urafiki na kutuma picha zao. Baadaye wangewaambia wanajeshi wa Israel wa Download hiyo app ili WAONGEE MAPENZI kwa SIRI.
Bila kujua kumbe hiyo app ni ya kuwadukuwa na kuifanya SIMU ya KUPANGUSA (Android) iwe ON kwenye KAMERA na MICROPHONE na hivyo kukotroliwa na Hamas na hivyo kujua MIENENDO ya majeshi ya Israel wakati WOWOTE!
Wanajeshi wa IDF waligutuka tu baada ya kila mmoja wao akimaliza ku download huyo MREMBO HUPOTEA na hapatikani TENA.
Ndipo walipowajulisha wakuu wao na hatua kuchukuliwa za kiusalama
Inasemekana askari wa vyeo vya chini ndo walioingia mtego huo lakini si walio na ngazi kubwa. Israel inadai MADHARA yaliyofanywa si makubwa na WAMEDHIBITI.
Je katika hili ni nini tunaweza KUJIFUNZA kuhusu madhara ya simu za KUPANGUSA?