Kununua na kutumia simu iliyotumika,kiusalama wa taarifa zangu imekaaje hapo?
Hyo s4 mbna hujataja beiSamsung Galaxy S4
GB 32
With LTE
Very good condition
Serious buyers 0654766056
![]()
Wewe nitakuwa nakujua wewe naamini hivyoIPhone 6 plus
GB 128
Used condition
Bei 1.2 million
Serious buyer 0654766056
![]()
![]()
![]()
![]()
Hajaiba ngoja niotee huyu jamaa atakuwa anafanya kazi kampuni moja wapo nje ya Tanzania jamaa wameziweka sell kuingiza mzigo mpya kajichukulia fursa big up brooUmeziiba wapi
Poa, nitakutafuta mkuu.It's risk kwa sababu hujui unanunua imetoka wapi au imepatikana katika mazingira gani..
Mm najua zangu nazipata wapi.. Na kwa mtu ambaye ana wasiwasi wa bidhaa yangu.. Tunaweza fanya biashara hata kituo cha police kwa usalama zaidi na maandikishiano..
Ni katika hali yq kujenga uaminifu..
Asante
Hahaa nitakuvizia tu siku ukija kijijini nakubomu ya bureHahaha umetish...
Nakutafuta aisee..[emoji23][emoji23]
Mbona hii hujaweka Bei??Samsung Galaxy Note 5
GB 32
Very clean condition
Bei 900,000
Serious buyers 0654766056
![]()
Samsung Galaxy S4
GB 32
With LTE
Very good condition
Serious buyers 0654766056
![]()