Recent content by Ebenezer Kwayu

  1. E

    Segerea na hatma ya mabadiliko: Siasa uchwara zisitunyime kiongozi bora UKAWA

    SEGEREA NA HATMA YA MABADILIKO:- SIASA MAJI ZISITUKWAMISHE. Na Ebenezer Kwayu+255764013330 Jimbo la Segerea (Dar esSalaam) lina watia nia zaidi ya 20 wa CHADEMA mpaka sasa. Hii ni kwa mujibu watakwimu zilizotolewa na uongozi wa chama (kamati tendaji ya Jimbo) kupitiamikutano na waandishi wa...
  2. E

    Matokeo Kidato cha Nne 2014 yametoka: Sekondari ya Kaizirege yaongoza

    wadau, kwa mujibu wa haya matokeo ya kidato cha nne, watakaokwenda form five ni akina nani? wenye gpa zipi!?
  3. E

    MATAMKO: Chadema vyuo vikuu/chaso juu ya kuvuliwa uongozi kwa Zitto na Kitila

    CHAMA CHA DEMOKRASIA NA MAENDELEO CHASO MKOA S. L. P 1976, MOROGORO...
  4. E

    Kwanini sisi Waafrika ni Masikini?

    "Hata mimi thijui ni kwa nini thithi ni mathikini tena wa kutupwa"
  5. E

    Bananga kuitikisa iramba magharibi(uchaguzi wa vijiji)

    Kamanda Bananga, ni Bananga kweli. Anawashughulikia mithili ya fuko au mbwa mwizi.... tunataka haki zetu bhana... machinga wanakuwa wakimbizi ndani ya taifa letu? Haiwezekani
  6. E

    Mzee ndesa na Godbless Lema kuwaaga makamanda Chadema SAUT leo

    Tunashukuru kwa Taarifa kamanda. uko makini. Pia tarehe 1/6/203 DR SLAA atawatunuku vyeti wahitimu wa CHASO Mkoa wa Morogoro. ndo siku pia ya kuwasambaratisha magamba
  7. E

    Nilivyomjua Lyatonga Mrema na Prof. Lipumba na sasa Dr.Slaa

    Tunapoikimbilia Historia, basi tusindikizwe na mantiki kuifuata na kutoa hoja kwa kusaidiwa na historia hiyo... ni vyeme kujihakiki na kuangalia uhalisia kwamba je, siasa za lipumba zilizomweka juu ni hizi za sasa za Dr n CHADEMA, je za Mrema?... Maji hufuata mkondo wake lakini yakizidi huziba...
  8. E

    Yapo ya kusahau lakini sio hili!

    Sishangai maana hata anayejiita profesa benno ndulu (gavana bot) aliwahi kukarabati nyuma wanazoishi yeye na msaidizi wake kwa gharama ya shilingi 2,500,000,000 (bilioni mbili na nusu). Ni aibu sana jamani. Tuamke sasa tuseme bhasss..
  9. E

    Ni heshima na utaratibu kwa mchumba wa kiongozi kufanya hivi?

    Kwanza kabisa ni dhahiri kwamba ujenzi wa chama chetu cha CHADEMA ni tofauti na ujenzi wa vyama vingine vya kinafiki. Ujenzi wa chama chochote cha kisiasa hautegemei kumnyima mtu stahiki yake ili kikue. La sivyo kitakua katika taswira nyingine (kitakuwa ni chama cha mtu na siyo watu). Dr Slaa...
  10. E

    Swali kwa viongozi au wanachama wa chadema mkishinda mwaka 2015.

    Umakini wa chama chochote cha siasa upo katika urahisi na uhalisia wa utekelezaji wa sera zake zenye tija kwa jamii. Katika hili, chadema ni waasisi wa sera (zinazotekelezeka na nyingi) ambazo leo hii ndizo zinatumiwa na ccm. Mathalan, sera ya kuanzishwa kwa chuo kikuu cha dodoma (university of...
  11. E

    Mungu Mlinde Dr. Slaa Aiokoe Tanzania

    Mungu nilinde kwanza mimi kabla ya Dr Slaa (maana ataishi kwa sababu umemchagua) ili nisife kaba ya kuona anachokwenda kuifanyia ccm (wakoloni weusi) mwaka 2015.. Nikishashuhudia tu Tanzania ikipata ukombozi wa kweli,,, basi I don care hata nikifa
  12. E

    Kiongozi wa style hi anamapungufu makubwa

    kwi, kwi kwi, kwi... nawacheka maana mmesahau yafuatayo.. Asiwe kigeugeu ndani ya chama.(salia) Asishirikiane na magaidi kutengeneza kesi kwa wasio hatia na kuwatesa Asiwe mropokaji Aijue vizuri Tanzania na siyo kupotosha Muungano na kuwakilisha taifa visivyo Asitumie mamlaka kuwazima wakulima...
  13. E

    Tano Bora ya wabunge wazalendo kwa taifa letu!

    ungetoa uwanja mpana ili nae DR SLAA tumtambue. Hata sisi CCM tunamkubali sana na akisimama tu, tunampa kura zote. hata sisi tumejichoka ila tunaogopa kusema kwa sauti kubwa maana ndimo ulimo (kwa sasa tu lakini baadae tutawaunga mkono makamanda)....Sasa turudi kwenye masalia bora, wasaliti bora...
  14. E

    Pata audio ya mdahalo wa Dr Slaa uliofanyika Movenpick Hotel October 2010.

    Tuipate hiyo kamanda. Nadhani hiyo ndiyo halisi istahikiyo kutumika mashuleni na kufundisha umma.. siyo kama hivi vya akina Mzee Makamba vinavyoogopa kuongelea ukweli na suluhisho sahihi
  15. E

    Kwa viongozi wa Chadema

    shukrani zinatakiwa kuwafikia kweli makamanda wa chadema.. (walioorodheshwa na wengine kama akina Heche na Munishi). Elimu inayoongelewa na kamanda nimeipata.. ni hii ya kuamsha na kuelimisha umma mathalani iliyofanywa hivi karibuni na Kamanda Lema na Msigwa.. inastahili shukrani pia
Back
Top Bottom