hata kigonsera ya leo kuna majembe yanafanya poa sana mfano kuna jamaa nimehitimu nae six 2015 mitihani ya ndani hakuwahi kufanya poa ila necta kaibuka na 4.7 GPA ya PCB
ama kweli ni jambo la kupongezwa hasa nkiwa miongoni mwa wakazi was mkoa huu mpya hii barabara imekuwa kiungo muhimu sana kwa uchumi kwani huwawia changamoto kubwa sana wakazi wengi ambao ni wakulima pale wanapohitaji kupeleka mazao yao masokoni bila kusahau pia makete kuna vivutio kama mbuga ya...
binafsi nakumbuka sana nkiwa 834kj makutupora jkt operesheni kikwete awamu ya tatu mwaka 2015 tulikamatwa usiku tukiwa tumelala hangani wenzetu wakiwa mkesha kiukweli doso tulilopewa na ma MP kila nkikumbuka huwa naumia roho kuna wenzetu baadhi walilazwa
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.