Special Thread: Dalali wa Viwanja, Nyumba, Mashamba, Magari nk

Special Thread: Dalali wa Viwanja, Nyumba, Mashamba, Magari nk

Aisee... Kwa hiyo sewage system pia ina kiwanja chake au???
 
Llllllllhllblllllllhplplpllbplplblppppplblppbplllppppllblpllpllhpllpllhlppppllllplppppplpplpppplplplpllpplpppplpllpppllppppppppplplplppppplplllpplplllplpplllllblhllhlpllllplp
Lpll
Viwanja bei chee vinauzwa Chanika vipimo mita 15 kwa mita 16 Viwanja vina barabara za mitaa bei Milioni moja na laki tano unaweza ukalipa kwa instalments kwa mawasiliano nicheck 0718239997
6618886638a4e87ce96f61534b0595b4.jpg
 
Kwa wahitaji wa nyumba,Viwanja na mashamba maeneo ya Chanika,Zingiziwa na homboza nitafute kwa namba hii 0718239997 (inatumika whatsap)
 
Kwa anayehitaji Kiwanja,mashamba kwa maeneo ya Chanika Viwanja bei kuanzia Milioni moja na mashamba kuanzia Milioni 5 Kwa heka kwa mawasiliano nicheck 0718239997
 
Viwanja bado vipo bei Milioni moja
 
Hivi kwanini raia hawataki kununua viwanja chanika japo cheap?
 
Hivi kwanini raia hawataki kununua viwanja chanika japo cheap?
[emoji16][emoji16][emoji16] huko ni kijijini bro. Hata njia za kufika ni mtihani. Niliwai kwenda na private, miundombinu bado sana. Network ipo chini kama sio hakuna kabisa sehemu nyingine.

Umeme kuna solar tu huko
 
😂😂😂😂😂 aisee kumbe ndio maana viwanja hadi million moja ila watu hawaendi!
 
Mkeo mtarajiwa ndio naishi huko, hutakuja?
Aisee natafuta ground walau iwe karibu na mjini mpenzi ila sasa vyote vizuri navyoona viko zaidi ya 22kms toka City centre. Nikawaza nichungulie huko Chanika maana ni almost 15kms toka mjini. Hata zikiwa zaidi ila zisifike 20kms ila kwa hizo story za ushirikina aisee aheri niende mbali zaidi. Sihitaji kabisa maswala ya kurogana na mawivu ya kiswahili.
 
Back
Top Bottom