Mshebebe ndio kipimo cha Upendo

Mshebebe ndio kipimo cha Upendo

mshebebe ndio nani/nini??mbona mnatuandikia maneno ya kipundanga aisee.....
 
Mechi ndio huhuisha upendo kua wa asilimia mia
 
Mmmmmmmmmmmmmmh

Ndiooo sio mtu anakujaza upepo eti oooh!...mpaka tukifunga ndoa wakati kunabingwa mtaa wapili anamega kisela miaka kibao nahajatangaza ndoa nawewe hii nini maana yake kama sio kuonana malofa ukitaka tusubiri ndoa basi nawewe nikukute hapajaguswa kotekote
 
Kufanya mapenzi ni jambo muhimu. Niliwahi kuchukua mlupo pale CBE siku naenda kupiga duuh breki pumbo japo kwa nje anavutia sana.
 
Back
Top Bottom