Barabara ya Njombe Makete sasa imekumbukwa

Tabutupu

JF-Expert Member
Nov 26, 2010
13,206
18,548
Niippngeze serikali kwa kuikumbuka barabara hii ambayo inaunganisha Njombe na makete,Kwa miaka mingi hawa wakinga wamekua wakipata shida sana kusafiri kutoka makete hadi njombe kutokana na ubovu wa barabara.

Naona tenda imesha tangazwa pamoja na barabara ya ludewa Njombe.

The Government of the United Republic of Tanzania has allocated funds for the operation of the Tanzania National
Roads Agency (TANROADS) during the FY 2016/17. It is intended that part of the proceeds of the fund will be used
to cover eligible payment under the contract for the Upgrading of Njombe-Ndulamo-Makete Road (107.4 Km) to
Bitumen Standard, Lot 2: Moronga-Makete Section (53.5km), Tender No. AE/001/2016-17/HQ/W/06.
 
Kama mkazi wa Makete naipongeza serikali kwa hili, maana tatizo kuu la Makete ni Barabara.
 
Sitoisahau hiyo barabara, ilinipa wakati mgumu sana wakati nikiwa chuo cha ualimu Tandala, jambo jema sana hilo hasa ukizingatia Ikonda kuna hospitali kubwa itakayokua inatoa huduma kwa wepesi kwa watu kutoka maeneo mbalimbali hasa NJOMBE
 
Mm ndo nimepata tenda hiyo asante Magu...
umepata tenda ya kipande kipi cha baranara maana barabara imegawanywa vipande kama vitatu na itajengwa na wakandarasi zaidi ya 2
 
Watetea mafisadi chadema watakuja kupinga
images-1335.jpeg
 
tender doc hii hapa
 
Attachments

  • 1482223297-Invitation+for+Bidders+Lot+2+%286%29.pdf
    238.4 KB · Views: 166
ama kweli ni jambo la kupongezwa hasa nkiwa miongoni mwa wakazi was mkoa huu mpya hii barabara imekuwa kiungo muhimu sana kwa uchumi kwani huwawia changamoto kubwa sana wakazi wengi ambao ni wakulima pale wanapohitaji kupeleka mazao yao masokoni bila kusahau pia makete kuna vivutio kama mbuga ya kitulo ambayo wakazi huita bustani ya mungu ambayo imekuwa haifikiki kutokana na ubovu wa miundombinu
 
Niippngeze serikali kwa kuikumbuka barabara hii ambayo inaunganisha Njombe na makete,Kwa miaka mingi hawa wakinga wamekua wakipata shida sana kusafiri kutoka makete hadi njombe kutokana na ubovu wa barabara.

Naona tenda imesha tangazwa pamoja na barabara ya ludewa Njombe.
barabara ina vipande vya Rami.kipengele,mang'oto ukizingatia ni maeneo ya milima.
Hakika wananchi watanufaika sana.
 
Back
Top Bottom