Recent content by E109

  1. E

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jana nimekula mzigo leo nimeamka Naumwa

    Ha Haaaaa Sent using Jamii Forums mobile app
  2. E

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jana nimekula mzigo leo nimeamka Naumwa

    Mkuu kwani wa SUA wana nini? Sent using Jamii Forums mobile app
  3. E

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwanaume kumletea mke wa mtu zawadi baada ya kujifungua imekaaje wadau? Msaada wa Haraka Tafadhali!

    • Maswali hayo yakijibiwa kwa kigugumizi na wasiwasi jua wazi kuwa. 1. Mtoto sio wake 2. Kama mtoto ni wake basi mleta zawadi atakua na mahusiano naye • Kama Maswali hayo yatajibiwa kwa utuo bila wasiwasi basi hana haja ya kudoubt sema huyo mleta zawadi atakua na kaumama mama flani na...
  4. E

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Sitaki dawa

    Binafsi nimekuelewa vyema, tatizo ni kubwa kwa jamii yetu wengi ni "close minded" sio kwa suala hili tu hata kwa mambo mengine ya msingi kama vile masuala ya kiimani za dini, siasa nk
  5. E

    JamiiForums Tanzania Fahamu sheria wakati unapofikishwa mahakamani na kusomewa shitaka

    ukikiri kosa sio kwamba hautaruhusiwa kukata rufaa tena, bali utakua limited kwa sababu zako na kwamba utaomba upunguziwe adhabu.kwa mfano mshitakiwa anaweza kuenter a plea of guilty kwa kosa la wizi akafungwa miaka 7 lakini anaweza kuappeal na akapunguziwa adhabu kutegemea na ukubwa au thamani...
  6. E

    JamiiForums Tanzania Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

    na hapa ndipo wabongo wengi tunafeli
  7. E

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hivi ni rahisi kuona mpenzi uliemzoea anaoa/olewa na kusema 'waache waoane?'

    Mkuu hats Mimi hili limenikuta, na mchumba wangu ameolewa Leo asubuhi. Wacha waoane, lakini roho inaniuma sijui mfano wake.
  8. E

    JamiiForums Tanzania Safari yangu ya kigali

    Rwanda majanga matupu, kila kitu kwa foleni hadi stendi mnasubiri magari mkiwa mmepanga foleni utadhani mpo kindergarten. Nilipata tabu sana kuzoea na kila Mara nilipamiss tz.
  9. E

    JamiiForums Tanzania Safari yangu ya kigali

    Ukiacha viunga vya Remera Kigali ni ovyo tu kuna maeneo kama Nyabugogo huwa napafananisha na mabatini Mwanza
  10. E

    JamiiForums Tanzania Swali kuhusu Gwaride kwenye sherehe za kitaifa

    Urakoze cyane
  11. E

    JamiiForums Tanzania Karibu tutabiri vichwa vya magazeti kesho

    Bila shaka litakua ni 'mawio'
  12. E

    JamiiForums Tanzania Achilli will kill his father and marry his mother

    Kimefasiliwa kiswahili kinaitwa "Mfalme Edipode" ni kitamu balaa
Back
Top Bottom