Hute
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 6,537
- 6,463
Nilijua nitakuta kuna jiji kubwa lenye hadhi ya kuwa jiji haswa la kiafrika, nilichokikuta ni mji sawa na Arusha au mwanza, isipokuwa wametuzidi tu usafi na barabara kidogo wameziboresha.
Ola ukija kwenye real estate/majengo na skyscrapers, Kigali haina tofauti na arusha na Mwanza.
Kama Arusha ikijitahidi kujenga barabara na viunga vya kijani pamoja na usafi, hakika kigali iko chini kuliko Arusha.
Arusha kuna mzunguko mzuri zaidi kipesa kuliko Kigali.

Last edited by a moderator: