Karibu tutabiri vichwa vya magazeti kesho

Karibu tutabiri vichwa vya magazeti kesho

Kashishi yetu

JF-Expert Member
Joined
Mar 22, 2014
Posts
3,634
Reaction score
3,944
Gazeti La Uhuru Linaandika, HATIMAE SUMAYE AMFUATA FISADI MWENZAKE LOWASA. NAPE,ASEMA AENDE SALAMA C.C.M HAINA SHIDA NA MIZOGA. Nalo Gazeti La Tanzania Daima Sauti Ya Watu Linaandika UKAWA NJIA NYEUPEE, MBOWE ASEMA NA BADO, MWAKA HUU C.C.M IJIANDAE KUWA CHAMA PINZANI. Nalo Gazeti La Mwananchi Linaandika, NCHI IMETIKISIKA, WAZIRI MKUU SUMAYE ATIMKIA UKAWA. Gazeti La Mtanzania Linaandika, SUMAYE ATIMKIA UKAWA, ongezea na wewe magazeti ya kesho yataandikaje?
 
Kesho ni mzalendo chonde chonde waongezee fedha ya kampeni kwa kununua nakala uone uozo zaidi utakaoandikwa kesho usikose
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom