Recent content by E.l.ve

  1. E.l.ve

    JamiiForums Tanzania Wavulana wapeta matokeo kidato cha Sita, 2014

    kawawa shule yangu nimesoma hapo
  2. E.l.ve

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwa wewe binti unaependa waume za watu!

    Nimeipenda
  3. E.l.ve

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Naombeni ushauri wana jf

    Ndugu yangu sijawai kulikoroga hata 1day.nilishawai kuja humu kuomba ushauri jinsi anavyonifanyia.kiukweli ushauri nilioupata humu na kwa watu wangu wengine wakaribu ambao nao wanamfahamu niliufanyia kazi.sema 2 wanaume wengine ving'ang'anizi.anataka kuforce penzi.
  4. E.l.ve

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Naombeni ushauri wana jf

    Asante kwa ushauri.ila jamani mwenzenu sielewi nimemkosea nini mpaka ananifikiria mabaya.kaniambia ananipa siku moja 2.
  5. E.l.ve

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Naombeni ushauri wana jf

    Habari wana jf!jamani mwenzenu naombeni ushuri.jamani kama mnakumbuka nilishawai kuja humu kuomba ushauri kuhusu matatizo ya mpenzi wangu ambaye kwa sasa ni X toka mwezi watatu mwaka huu.chakushangaza ama chakutisha X huyu amenipigia cm usiku huu nakuniambia maneno makari sana kiasi kwamba...
  6. E.l.ve

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania nimegombana na Mke wangu'ameniacha

    Acha mambo ya ajabu.ww muombe mungu atakusaidia maana mungu ndo kimbilio lako.huu nimwaka wa IMANI.lazima maombi yako yatajibiwa.
  7. E.l.ve

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Je unaweza kuoga na mpenzi wako?

    Ndio.raha sana kuoga nampenzi wako.
  8. E.l.ve

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kila akifika kilele ananing'ata meno

    Mfunge matambala mdomoni.
  9. E.l.ve

    JamiiForums Tanzania Rafiki wa kike wa kubadilishana mawazo

    Huyo unametaka nirafiki au mke?maana hayo masharti utafikiri unataka kuchumbia.
  10. E.l.ve

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Maisha ya chuo bila mke!

    uchafu huo.nausipo angalia hata mkeo atakujakumegwa kisera.
  11. E.l.ve

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Maisha ya chuo bila mke!

    walikushtukia kuwa ww nikito*bi.ndo maana wakawa wanakupotezea mda.umechelewa kumeshakucha ndo unajifunika shuka.pole jipange upya.
  12. E.l.ve

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania MSAADA: Mama kabadilika baada ya kuwa Mlokole

    Yani huyo mama yako atakuwa hajui maana yakuokoka.maana kama angekuwa anafahamu ilo asingejitenga na wenzio.kwanini yy asiwe ndo mfano wa familia?angeu2mia vizuri huo ulokole wake angeweza hata kumshawishi mumewe kuokoa.huyo nimbaguzi anawezaje kuujua uchafu wa kiroho wa m2?hata maandiko...
  13. E.l.ve

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Binti wa mjomba ananitaka Kimapenzi'

    Mwenzio hataki ukoo uende mbaliii...,hata ivyo "Binamu kinyama cha hamu"
  14. E.l.ve

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nifanye nini..?!

    Hofu yako nikuibiwa?ila icho kidore kimoja unacho mnyooshea mpenzi hakina nguvu.kwani kuna vitatu vinakutazama ww na kukuliza.ww je?utavumilia?
  15. E.l.ve

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mademu wa mjini... Aka, sioi mie!

    Ushatukanwa huko nini?utakuwa uliingia kichwakichwa.poleee....
Back
Top Bottom