Ghostquake
Member
- Apr 18, 2013
- 77
- 11
hasira hasara.
Atarudi tuu kwa budget hii ya juzi lazima arudi mwenyewe
ndugu zangu sikujua mapenzi ni mchezo hatari kiasi hiki'nimegombana na mke wangu ni mwezi wa pili sasa''tulipogombana alirudi akitaka tuongee lakini bado nilikuwa na hasira naye na nilikataa kuongea naye'hasira zangu zilipoisha niliamua turudiane lakni amekataa na amesema hanitaki tena'kwa kweli nimechanganyikiwa sijui nifanye nini ili turudiane'mimi ni mkristo sijawahi kwenda kwa waganga lakini nasikia kuna dawa unaweza kumrudisha mpenzi aliyepotea?je nitakuwa natenda dhambi nikitumia nguvu za uganga kumrudisha?naomba msaada
mbembeleze mpe maneno mazuri na zawadi ndogondogo kama kadi kanga nguo nk