Binti wa mjomba ananitaka Kimapenzi'

Binti wa mjomba ananitaka Kimapenzi'

Kwani wewe maamuzi yako ni nini b'se inaonesha utakachoshauriwa hapa ndicho utakachofanya
 
wenyewe wanasemaga eti binamu ni nyama ya hamu,hii imekuwa ya shubiri??,kula kitu hiyo,c inaruhusiwa hyo weweee
 
mapenzi yasikutawale ndani ya nyumba ya mjomba,katafute demu mwingine ila si huyo,hapo utakunywa maji kwa karai, acha ubwege, tumia akili, msemee kwa mjomba ili afahamu,na kama atakubali uwe unampa dozi ya uhakika na si ya kubahatisha, fanya fasta!!!
 
wakuu ni matumaini yangu mko cool.
Leo nimetupia thread hii kwenu kutaka msaada wa kimawazo juu ya huyu binti wa mjomba wangu!
Tangia nije kwa mjomba amekuwa akinitaka kimapenzi eti anadai kisa mi mkarimu sana kwake na kudai amependezwa na tabia zangu na kusababisha kuamsha hisia za kimapenzi kwangu " for sure ananipenda sana even ananililia juu ya hili"
Cha ajabu ni kuwa nimetumia mbinu zote kumweleza juu ya undugu wetu na yeye kudai si mtoto wa mjomba na anamfahamu baba yake original na yuko serious juu ya hilo na mama yake anaelewa hilo ila baba yake hajui!!
wana jf naombeni ushauri juu ya hili nifanye nini?

Mwenzio hataki ukoo uende mbaliii...,hata ivyo "Binamu kinyama cha hamu"
 
wakuu ni matumaini yangu mko cool.
Leo nimetupia thread hii kwenu kutaka msaada wa kimawazo juu ya h:uyu binti wa mjomba wangu!
Tangia nije kwa mjomba amekuwa akinitaka kimapenzi eti anadai kisa mi mkarimu sana kwake na kudai amependezwa na tabia zangu na kusababisha kuamsha hisia za kimapenzi kwangu " for sure ananipenda sana even ananililia juu ya hili"
Cha ajabu ni kuwa nimetumia mbinu zote kumweleza juu ya undugu wetu na yeye kudai si mtoto wa mjomba na anamfahamu baba yake original na yuko serious juu ya hilo na mama yake anaelewa hilo ila baba yake hajui!!
wana jf naombeni ushauri juu ya hili nifanye nini?

Mupeeee!! Mupe raha mtoto asije kufaulu na hamu zake, ila mmh mpaka kakutamkia mwenyewe?? Kweli?Basi ni jasiri halafu mzoefu
 
wewe hapo unategwa ili kutafutiwa njia ya kufukuzwa na shangazi yako ambaye ni mke wa mjomba wako:yell:
 
Mwambie shangazi yake ambaye ni mama yako ataongea naye
 
Hahahaaaaaaaaaaaaa! TOO SWEET TO BE TRUE!!!!!!!!!!!! HILO TEGO! STUKA!!!!!Hapo Mke wa Mjomba hakutaki humo ndani unawabana na kujambiajambia sofa zao za cashmere, nyumba nzima umejaaa wee, Mjomba mjomba kitu gani? Kazi kuongeza bajeti! Sasa Mke wa mjomba kamuomba kistaarabu mumewe akutoe kagoma sasa ndo wamekusukia mpango wa kijasusi wa kukuchomoa hapo kimafia! THEY ARE OFFERING YOU AN OFFER THAT YOU CANT REFUSE!!!!!!!! Ukiingia kingi tu kwisha kazi! Ndo tiketi yako kurudi kwenu huko na Mjomba wako hatotaka kukuona MILELE DAIMA Mwana mtoka pabaya usiyejua vibaya! Amekufazili ukataka kumla mwanae.Unavosema Mke wa Mjomba anajua wanchekesha mwenzio ndo Master Mind wa Operation Fukuza Mgeni, na anaifatilia kwa ukaribu. ALL THAT GLITTERS AINT GOLD DUDE!!!!!!!!
Mkuu usisikilize vitisho vya Lara 1, mtu mzima hatishiwi nyau! Mkwangue huyo binamu yako ili akuheshimu, mbona binamu ni nyama ya hamu? Tom. ba huyo anawashwa, tena ukishamaliza tuletee sledi ingine hapa ututhibitishie kuwa wewe ni kidume!
 
Hahahaaaaaaaaaaaaa! TOO SWEET TO BE TRUE!!!!!!!!!!!! HILO TEGO! STUKA!!!!!

Hapo Mke wa Mjomba hakutaki humo ndani unawabana na kujambiajambia sofa zao za cashmere, nyumba nzima umejaaa wee, Mjomba mjomba kitu gani? Kazi kuongeza bajeti!

Sasa Mke wa mjomba kamuomba kistaarabu mumewe akutoe kagoma sasa ndo wamekusukia mpango wa kijasusi wa kukuchomoa hapo kimafia! THEY ARE OFFERING YOU AN OFFER THAT YOU CANT REFUSE!!!!!!!! Ukiingia kingi tu kwisha kazi! Ndo tiketi yako kurudi kwenu huko na Mjomba wako hatotaka kukuona MILELE DAIMA Mwana mtoka pabaya usiyejua vibaya! Amekufazili ukataka kumla mwanae.

Unavosema Mke wa Mjomba anajua wanchekesha mwenzio ndo Master Mind wa Operation Fukuza Mgeni, na anaifatilia kwa ukaribu.

ALL THAT GLITTERS AINT GOLD DUDE!!!!!!!!

du sikuwahi kufikiria hii kitu kabsa,what an insight!
 
Back
Top Bottom