Je unaweza kuoga na mpenzi wako?

Je unaweza kuoga na mpenzi wako?

B. Siwezi kuoga bila mke wangu other wise awe hayupo, lakini daily i must take shower with my wife, i love her very much
 
hakuna tatizo kabisa..kama ni mume kipenzi hakuna mashaka yyt
kwa hiyo hata sabuni ikianguka jamaa akainama kuokota unamwona ASS HOLE fresh tuu na jamaa hajishtukii wala nini au AKIJAMBA KIKANUKA MBAYA AU KIKILIA MBAYA..maana si hakuna siri
 
mpka ufikie kuitwa mume..jua wewe ni kipenzi tayari..kwa bf na gf ni makosa..maana hauna guarantee kua utadumu nae kwa muda gani..kuna kumwagana kirahsi rahisi sana
ahaa kumbe hii ni aplicabe kwa mume KIPENZI na sio kila mume na pia sio kwa boifrend na gelfrend
 
B..sisi ni wapenzi..kati yetu hakuna siri wala aibu

Safi sana, hope hata kwenye simu hamna siri ee!Mchuchu wako anaweza shhika simu yako at anytime, safi sana!!
 
B. Siwezi kuoga bila mke wangu other wise awe hayupo, lakini daily i must take shower with my wife, i love her very much

Da i like the comment pokea like zangu mia cjawi kukuta comment ya mwaname humu anadimit kumlove mkewe lucky she is.i feel envy
 
Acha visingizio. Mnajifanya mmechelewa kwenye foleni saa ngapi mtasuguliwa migongo? Maji ya kupepeta kwa kopo ndo mazuri haswaa ya kuogeshana. Unasimama wima kopo moja tu mgongo woote unatakata na yanasindikizwa na mkono teh teh
Haya maji mnayooga na kutiririka namna hii ni maji ya DAWASCO?
My take: DAWASCO inasababisha ndoa zetu zikose vionjo kutokana na kukosa huduma hii muhimu.
NB. Hii ni kwa wana Dsm tu. mikoani wako poa.
 
inategemea bafu mzee...nemetiririka tu
 
Back
Top Bottom