Sijui kutawaliwa sana na wakoloni kumetufanya kutozingatia kukusanya jamii na kuwa kitu kimoja na badala yake kuzingatia kutawanya watu kutokana na misingi ya itikadi , jinsia,kabila,koo,rangi,na hasa dini.
Imekuwa ikifumbiwa macho na watawala kwa muda mrefu mambo haya yakiwagawa watu mfano...