Ni bora CCM wafanyie mikutano madarasani | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ni bora CCM wafanyie mikutano madarasani

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mohamedi Mtoi, Jun 2, 2011.

 1. Mohamedi Mtoi

  Mohamedi Mtoi R I P

  #1
  Jun 2, 2011
  Joined: Dec 11, 2010
  Messages: 3,326
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 0
  Great thinkers.
  Kwa jinsi nilivyo ona picha kwenye gazeti la mwananchi kuna kila sababu CCM, Nape na viongozi wake kufanyia mikutano shule za msingi au sekondari.

  Natambua sheria ya vyama vingi ya mwaka 1992 imekataa kuendesha siasa kwenye taasisi kubwa za elimu na hata kwenye mashule. Lakini kwa jinsi hali ya mambo ilivyo kwa CCM nawashauri wafanye hivyo maana umati au wingi wa watu umekuwa fasheni na kipimo cha kukubalika kwenye vyombo vya habari.

  Mashuleni hasa msingi watapata wanafunzi wengi maana itakuwa amri kuwa ni lazima wanafunzi wahudhurie hivyo wanafunzi hawata pata kero kupelekwa au kukatishwa vipindi kwa ajili ya mikutano ya ccm inayofanyika nje ya shule zao.

  Lakini pia itawasaidia kukuza wanachama wapya wa miaka 10 ijayo ccm ikiwa chama cha upinzani ikijipanga kuondoa CdM madarakani maana kwenye mavyuo wamesha ona hali ni mbaya na hawana chao tena. Udom wanapo pategemea pamesha tekwa siku nyingi na ni miongoni mwa ngome za CdM kwa vyuo vikuu.

  Hivyo nawashauri mikutano yao ifanyikie mashuleni tena wakati wa gwaride, morning talk, evining talk au muda wa prepo. Vinginevyo wataendelea kuvuna aibu au watajikuta siku moja wako mikutanoni wenyewe au wao na mabalozi wa nyumba kumi kumi.
   
 2. Mzalendo80

  Mzalendo80 JF-Expert Member

  #2
  Jun 2, 2011
  Joined: Oct 30, 2010
  Messages: 2,385
  Likes Received: 122
  Trophy Points: 160
  Kwani hata hao wa Shule za Msingi wakikua na wakijua kuwa hapo walipofika ndio ccm imewafikisha basi watakikataa, Ushauri wa bure kwa Nape akatae hiyo kazi lasivyo ni kujiaibisha
   
 3. n

  nyuki dume JF-Expert Member

  #3
  Jun 2, 2011
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 438
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Na hasa wakielewa ndio waliosababisha wasome huku wamekaa chini badala ya kwenye madawati itakuwa ni balaa zaidi
   
 4. mopaozi

  mopaozi JF-Expert Member

  #4
  Jun 2, 2011
  Joined: Nov 17, 2010
  Messages: 3,290
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  Kwi kwi kwi kwi kwiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii jamani mbavu zangu mieeee hooooiiii. Nineiona ile picha nawashangaa nyie na vijiba vtenu vya roho
   
 5. Jaluo_Nyeupe

  Jaluo_Nyeupe JF-Expert Member

  #5
  Jun 2, 2011
  Joined: Dec 21, 2010
  Messages: 2,269
  Likes Received: 413
  Trophy Points: 180
  mi naona ni mkakati mzuri kwani chama inabidi kijengwe kuanzia chini kabisa.
   
 6. d

  dzed25 Member

  #6
  Jun 2, 2011
  Joined: Oct 10, 2010
  Messages: 26
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ile yaleo ni kali kuliko,,,eti wanzunguka kufafanua kujivua gamba...watoto kibao...
   
 7. M

  MPG JF-Expert Member

  #7
  Jun 2, 2011
  Joined: May 12, 2011
  Messages: 483
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Anguko la mkoloni mweusi limefika tayari,limbukeni NAPE hana jipya tena,uongo wake unajulikana nch nzima.
   
 8. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #8
  Jun 2, 2011
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,475
  Likes Received: 4,134
  Trophy Points: 280
  Ndio mbinu pekee iliyobaki, inaonekana watoto wanawaelewa zaidi...
   
 9. rosemarie

  rosemarie JF-Expert Member

  #9
  Jun 2, 2011
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 6,768
  Likes Received: 1,023
  Trophy Points: 280
  mkuu naomba uwe na ushauri mbadala
   
 10. M

  Mfwalamanyambi JF-Expert Member

  #10
  Jun 2, 2011
  Joined: Dec 18, 2010
  Messages: 434
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  Halafu alikuwa na wasiwasi kama wale watoto wanamuelewa, maana alikuwa anaulizauliza sana eti ' nyie mmenielewa nnachosema'?
   
 11. Filipo

  Filipo JF-Expert Member

  #11
  Jun 2, 2011
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 9,329
  Likes Received: 210
  Trophy Points: 160
  Wewe kweli Mtori! Ina maana hujaona ameshauri waanze kufanyia mikutano yao mashuleni maana huku mtaani watajikuta wapo wenyewe na mabalozi tu? Au ni mbadala gani uliokuwa unataka upewe?
   
 12. Mulhat Mpunga

  Mulhat Mpunga JF-Expert Member

  #12
  Jun 2, 2011
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 25,522
  Likes Received: 12,781
  Trophy Points: 280
  ccm buuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu, imekula kwenu
   
 13. G

  Galula Jr Member

  #13
  Jun 3, 2011
  Joined: Apr 15, 2011
  Messages: 44
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Mbadala zaidi ya huu, mbona ushauri mzuri maana hataki mfedheheke
   
 14. Mlengo wa Kati

  Mlengo wa Kati JF-Expert Member

  #14
  Jun 3, 2011
  Joined: Feb 16, 2011
  Messages: 2,733
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Hivi CDM mna majimbo mangapi mliyo shinda?
   
 15. Japhari Shabani (RIP)

  Japhari Shabani (RIP) R I P

  #15
  Jun 3, 2011
  Joined: Jan 16, 2007
  Messages: 721
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  CCM wanataka kutibu ugonjwa kwa maudhurio ya watu wanaokuja kumuhani ngonjwa badala ya kutafuta tiba ya ngonjwa .!!
   
 16. G

  GunzInTheAir JF-Expert Member

  #16
  Jun 3, 2011
  Joined: May 25, 2011
  Messages: 301
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  kama unaona una ushauri mzuri zaidi, si uende ukaishauri chadema.
   
 17. nguvumali

  nguvumali JF Bronze Member

  #17
  Jun 3, 2011
  Joined: Sep 3, 2009
  Messages: 4,864
  Likes Received: 143
  Trophy Points: 160
  Chama cha vichaa kile ! Watoto huwa na kawaida ya kushangaa wendawazimu , hahaah ccm a.k.a ze magambaz
   
 18. MANI

  MANI Platinum Member

  #18
  Jun 3, 2011
  Joined: Feb 22, 2010
  Messages: 6,411
  Likes Received: 1,863
  Trophy Points: 280
  Mkuu polepole watakusikia !
   
 19. Mufiyakicheko

  Mufiyakicheko JF-Expert Member

  #19
  Jun 3, 2011
  Joined: Mar 24, 2011
  Messages: 893
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Watakusikia wenyewe
   
 20. Mdau

  Mdau JF-Expert Member

  #20
  Jun 3, 2011
  Joined: Mar 29, 2008
  Messages: 1,771
  Likes Received: 252
  Trophy Points: 180
  Tayari wanafanya hivi madrasani......
   
Loading...