Mimi ni kijana wa umri wa miaka 29 nilikuwa naomba kueleweshwa katika hili mnamo tareh 13 nilipatwa na tatizo ila katika tatizo nilikuwa kazin na yule alikuwa mteja mie sikuingia kazini maana nilikuwa najisikia vibaya nilijibushana na mteja nikimwambia mie leo sipo kazin nimekuja kula ili nirud...
Yani hapa Ndo Kichwa kinazid kuuma maana kila kitu naonaga nyota nyota hii sasa ni hatari tuulize tulioenda zanzibar kufanya kazi tunakuwa kama wakimbizi
Usiku huu majira ya saa 1:35 hivi tumevamiwa nyumban kwa kuwa wezi walikuwa wanakomaa kuvunja gate nikapiga 112 jaman haipokelewi mpaka nikabid nipige 111 lakin bado ikawa ni tatizo mpaka tulipo piga kwa majiran ndo mmoja alikuwa na namba ya askari akawaita lakini hakutokea ila muda huo jiran...
huko kunaitwa kushikiwa akili coz una andamana hata sio mwanachama and yy kuna kuwa na gar karibu polisi wakifika tu anapanda gar anasepa mnakula zenu rungu mida kwenye tv anasema tumepigwa kumbe hakuepo ww hospital humuoni hata mie ujinga huo cna
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.