Recent content by DVD25

  1. D

    JamiiForums Tanzania Je, Ni msanii gani wa Bongofleva aliyepotea katika muziki unatamani arudi katika muziki?

    Yule mdada anaitwa fina mango kitu nasonga mbele nimekumbuka mbali sana mkuu
  2. D

    JamiiForums Tanzania Jose Mourinho anafanya mazungumzo na Manchester United!

    Mkuu una majibu kuntu😆😂
  3. D

    JamiiForums Tanzania Nyumba zikivunjwa Mbezi beach mnafurahia, zikivunjwa mabondeni mnanyanyaswa

    Aiseee hii ni hatarii ila ni ukweli tupu
  4. D

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri: Mazishi ya Mohamedi Mtoi, Lushoto - Tanga

    hah hah hah hah mkuu punguza jazba jamaa katumwa huyo😬😬😬
  5. D

    JamiiForums Tanzania Hali si shwari Morogoro road, Teja amshikia kisu mama aliyeacha vioo vya gari wazi na kuchukua hela

    kaka huyo teja ulimchukulia hatua gani
  6. D

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tafadhali: Mwanaume anayeuliza maswali haya mawili ni wa kumuepuka kama ukoma

    utakua mtamu sana wewe
  7. D

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimemtelekeza supermarket na bili ya laki nne

    mkuu nakupongeza kwan shida yote ya nini sahau yaliyopita ukirud ofisini unakaza tu mtoto wa kike hawez kukutisha kwa vijineno vya kukaririshwa hao ndo dawa yao tuuu
  8. D

    JamiiForums Tanzania Maandalizi ya mkutano wa UKAWA/CHADEMA uwanja wa Jangwani

    hivi hata yale majukwaa ya fiesta hua yanakua assembed na engeneers au
  9. D

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri Mkutano wa kumtambulisha Mgombea Urais kwa tiketi ya CHADEMA/UKAWA - Mwanza

    au nitumieni no zenu thruu 0654 38 55 38
  10. D

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri Mkutano wa kumtambulisha Mgombea Urais kwa tiketi ya CHADEMA/UKAWA - Mwanza

    wadau uzi unakimbia kuliko speed ya admin kuadd ni vizuri mkinipm no zenu ili wote msimiss muingizwe kwa utaratibu mzuri asanten
  11. D

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri Mkutano wa kumtambulisha Mgombea Urais kwa tiketi ya CHADEMA/UKAWA - Mwanza

    Safi Falcon wakumbushe wadau grp la watsup lipo jaman pia tupia no yake tukuadd
  12. D

    JamiiForums Tanzania Utajuaje kuwa unachoangalia ni filamu ya Bongo

    bongo muvie sio mtu mmoja kwa msemo wako nobody'z know wale ni watu wengi na kwa ujinga wao sie tunaainisha tu wakitaka kuendeleza upuuzi wao na waendeleze tuu ndo maana mi cd yao inaendelea kudorora
  13. D

    JamiiForums Tanzania Anaetaka dada wa kazi

    niPM namba yako tuongee biashara unaishi dar sehem gani
  14. D

    JamiiForums Tanzania Cyber law kuanza September Mosi

    hah hah hah kaka naungana na wewe tuwachore tu maana hamna namna nyingine
  15. D

    JamiiForums Tanzania Natafuta WIMBO WA CCM Mbele kwa Mbele

    Mijitu mingine bureee kabisa yan unakuta janaume zima linatoa namba yake humu eti nitumie nyimbo mbele kwa mbele hicho kiitikio tu kimekaa kishambenga shambenga wa waitikiaji wake ni wanawake sasa nashangaa hii michicha mwiba sijui itakua inaimbaje shame on youuu wotee ma bajomba unaoomba huo upuuzi
Back
Top Bottom